Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
Hapana ile hali haikuwa ya kawaida, ushiruhusu mahaba yakupofushe ili ushindwe kuutazama ukweli. Ingawa nakubaliana na wewe binadamu anapaswa kupewa nafasi ya pili.Ni kweli lilikuwa tukio baya sana lakini mimi naona zilikuwa akili za utoto tu na kama alivyofanikiwa kumshape katika mengine angeweza kumuelimisha na hilo pia na kwa vile alikuwa bado mdogo angerekebika tu
Ni kweli alitakiwa ampe nafasi ya piliHapana ile hali haikuwa ya kawaida, ushiruhusu mahaba yakupofushe ili ushindwe kuutazama ukweli. Ingawa nakubaliana na wewe binadamu anapaswa kupewa nafasi ya pili.
👇Wadau naombeni link itakayo niwezesha kudownload haechi
Asante
Kina Ofisa Nkai sio wachina kweli?!Alaf ile ni ya korea kaskazini....akina ofisa nkai...
Shikamoo dada, lo! Unastahiki kuwa malkia wa humu ndani.Uko vizuri dogo ila nimekuzidi maana nimeangalia nyingi hadi sizikumbuki vizuri majina.
Ila umepotea sana Abou Saydou
Hiyo Drama ya Dong Yi ni Hatari.Mimi nimeanalia Drama nyingi mno ivyo sina drama moja ninayoipenda zaidi bali nina msululu wa drama nizipendazo kuzipitia mara kwa mara.
1.Drama Zangu bora za kila wakati ni Dong Yi ikifuatiwa na Horse Doctor na Road No 1 .:canada:
2.Zote ni historical (za kijijini)
3.Drama za malovee nilizozipenda ni Be Strong Geum soon,Angel eyes, Princess Man na Jang Ok Jung
wa
4.Za kichawi ni Jeon Woo Chi na Arrang and the Magistrate
5.Za Action Iris, City Hunter, The Fugitive Plan B,3days,A man called God na Swallow the Sun
Wasanii ninaowakubali:
1.Ji Sung (Swallow the Sun, Kim Soo Ro)
2.Song II Gook (Aman called God)
Sexiest actress ni Gu Hye Sun (Angel eyes)
Msanii anayenivunjaga mbavu ni Sung Dong Il (Jang Ok Jung,The Fugitive Plan B, Jeon Woo chi
Drama ya kwanza ni Iris
Shikamoo na wewe lo!Jamani aliyeangalia Inspiring Generation aniambie ikoje, maana nimeangalia episode mbili bado haijanivutia nifah and co
Sorry hiyo Hong Gil Dong ni nzuri?!Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.
Shikamoo dada, lo! Unastahiki kuwa malkia wa humu ndani.
Naomba unigawieHahaaaaa yani kama ubalozi wa Korea ungetoa ofa kwa wanaoipenda Korea Wallah nisingeikosa nafasi ya kwenda kutalii kisiwani Jeju na jijini Seoul.
Nawapenda kitambo na mpaka nimeiambukiza familia yangu, mdogo wangu nae kawa mlevi wa drama za Kikorea siku hizi sihangaiki kudownload drama kila weekend naletewa mzigo wa wiki nzima.
Viva Korean Drama
Binafsi sikuipenda sijui nifah yeye ana maoni gani.
Naomba unigawie
SawaWewe tu, ukipata muda nicheki nicheki ratiba zangu tupange nikupatie.
Hello darling, unnie hana mali mpya na wewe uko kny mgomo baridi wa kutoniwezesha umeamua kunitambishia sijui nifanyeje! Wk end nilirudia kidogo empress ki maana niliwamiss sasa naendelea na American series ya Power...mpaka utakaponikumbuka.Hi Unnie...
Unaangalia drama gani? Nilipoimaliza Hwarang nikaanza kuicheki Korean Odyssey ambayo naona inanivuruga tu nimefika ep 10 nimestop nimeanza Strong Woman Bong Soo nikiimaliza nianze kukicheki chuma Six Flying Dragons huhuuuuuu
Hello darling, unnie hana mali mpya na wewe uko kny mgomo baridi wa kutoniwezesha umeamua kunitambishia sijui nifanyeje! Wk end nilirudia kidogo empress ki maana niliwamiss sasa naendelea na American series ya Power...mpaka utakaponikumbuka.
Six flying dragons naitamani sana unayo soft copy? Vipi hiyo strong woman imetulia?