Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
Hapana ile hali haikuwa ya kawaida, ushiruhusu mahaba yakupofushe ili ushindwe kuutazama ukweli. Ingawa nakubaliana na wewe binadamu anapaswa kupewa nafasi ya pili.Ni kweli lilikuwa tukio baya sana lakini mimi naona zilikuwa akili za utoto tu na kama alivyofanikiwa kumshape katika mengine angeweza kumuelimisha na hilo pia na kwa vile alikuwa bado mdogo angerekebika tu