Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Pole Na Pole Sana! Mola Akutie Nguvu Upone Haraka InshaAllah...

Maumivu yatapoa J5 InshaAllah Lazima Tulipize.....

Yaaani Hana Kinachofanikiwa yeye na Jun ki Naona Wanafaaana.....

Haechi Chingu Naona Inaniumiza Akili...
 
Maumivu yatapoa J5 InshaAllah Lazima Tulipize.....
upo sahihi, tukipoteza jumatano ndio basi
mashabiki wa liverpool hii mechi wataifuatilia wao zaidi kuliko wapenzi wa man utd.
hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
upo sahihi, tukipoteza jumatano ndio basi
mashabiki wa liverpool hii mechi wataifuatilia wao zaidi kuliko wapenzi wa man utd.
hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
Naziombea Mema Timu Zote 2, Leo Chelsix Anakaa Hiii Itakua na Nguvu Kwa ManU
 
Ni History ya Kweli!?
In his fourth year of reign, Soron launched an uprising to revolt against him. This event, led by Yi In-jwa, was also known as Musin Revolt, taking place in the year 1728. The base of the rebellion was the claim accusing Yeongjo of poisoning his half-brother Gyeongjong and taking over the throne.
 
umebahatika kuiangalia jackpot drama?
uhusika wake umeelezwa vizuri mule ndani
Nimepatwa na Nini Sijuh Siku hizi!

Nimepunguza kasi ya Drama Kwa Kiasi Kikubwa Sana!

Kutoka Drama 5 Mpaka 6 Kwa Siku Kufika Drama 2 Mpaka 1 Kwa Siku!

Nimepoteza Mzuka Kabisa
 
Nimepatwa na Nini Sijuh Siku hizi!

Nimepunguza kasi ya Drama Kwa Kiasi Kikubwa Sana!

Kutoka Drama 5 Mpaka 6 Kwa Siku Kufika Drama 2 Mpaka 1 Kwa Siku!

Nimepoteza Mzuka Kabisa
ni maamuzi mazuri sana kwa afya yako.
 
Hivi sikuiz mbona zile drama za pori (historical drama ) sizi pati mana natafuta kweli hizi za kisaiz sizielewagi kabisa
 
Nimeelewa Sas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…