Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wewe nimekugundua unapenda love story zaidi kuliko siasa na action.
athena cjaipenda kabisaaaa
mimi kwenye movie yako ukiweka star ambae anamapenzi na jitu lisiloeleweka
sizipendagi kabisa
mtu anafanya kazi anaathiriwa na mapenzi...
nazionaga mbaya...
gun s 4 coward
 
athena cjaipenda kabisaaaa
mimi kwenye movie yako ukiweka star ambae anamapenzi na jitu lisiloeleweka
sizipendagi kabisa
mtu anafanya kazi anaathiriwa na mapenzi...
nazionaga mbaya...
gun s 4 coward
Ile ndo tafsiri halisi ya upendo. Lovs never created comes naturally with no racism.
 
wadau mbona kimya saaana humu
my favorite series hadi sasa
slave hunter
tree with deep root
the merchant gaekju
land of wind
jackpot

hatari hatari hizoo
 
wadau mbona kimya saaana humu
my favorite series hadi sasa
slave hunter
tree with deep root
the merchant gaekju
land of wind
jackpot

hatari hatari hizoo
Tupooooo,
Slave hunter hata mimi naipenda sana,
Ila Tree with deep Root kwa kweli ilinishinda, yani wanatumia sana akili mpaka mtazamaji na wewe inakubidi ufikiri sana hadi kichwa chauma.

Niliyoipenda pia ni God of Trade ila sijaimaliza.
 
Angalia the flower in prison inaendelea kutoka si mchezo hyo drama
 
ushawish wa flover in the prison kwangu n mdogo kweli,,,,, star mwanamke kweli humo kuna martial arts zakutosha????? kama ilivyo kwa emperor of the sea, slave hunter,jumong,kingdom of wind

na pia series zenye maudhui kama hzo juu kwa anaefahamu aziorodheshe humu aisee
 
baadae ya yule dogo kutoka na kuingia yule jamaa kama gangmo nimeboleka sana sizan jamaa atafanya vzur kama gangmo.... naona hanishawish kabiisa
 
Back
Top Bottom