Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Yani nitauvaa uhusika wa huyo binti

Haki nitavunja mwiko wa kuangalia ongoing drama, siwezi kabisa kusubiri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jang Hyuk Joins Yang Se Jong, Woo Do Hwan, And Seolhyun In Upcoming JTBC Drama
Khantwe :
hivi huyu jamaa alishawahi kukutoa out japo mara moja kwa lengo la kuyafurahia mahusiano yenu ya ndotoni?
jamaa anafanya kazi mpaka anapitiliza kiwango kilichowekwa na chama husika, au anahofia maisha yenu ya uzeeni mutakuja kuteseka endapo mutashindwa kuweka hakiba ya kutosha muda huu mukiwa bado muna nguvu?
acheni woga bwana mbona hata babu kapuya anajiamini vya kutosha ndio maana ameongeza mashine nyengine yenye speed 3oo per hours



jang hyuk amethibitisha kushiriki kwenye upcoming historical drama inayoitwa my country ambayo itajikita zaidi kuzungumzia kuanguka kwa tawala ya Goryeo (koryeo) na kuanzishwa kwa tawala ya joseon (choson dynasty).
ataigiza uhusika wa lee bang won ambaye alikuwa ni mtu muhimu sana aliyemsaidia baba yake kuiangusha goryeo kwa ushirikiano mkubwa wa sambong.

Drama Series
 
Mwache ajussi wangu bwana, mwanaume anasifiwa kazi sio sura acha azitafute uzee wetu tutaenda kulia Mars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaaaaa umri wake ni miaka 70 kasoro 50.
bado ni beautiful agassi but nimeamua kumpa heshima ya ahjumma kwa lazima.
do you know why?
kwa sababu mimi ni muhimili mzito zaidi ya beberu la kizungu.
Tunapeleka posa kwa little agassi
 
hahahahaaaaa umri wake ni miaka 70 kasoro 50.
bado ni beautiful agassi but nimeamua kumpa heshima ya ahjumma kwa lazima.
do you know why?
kwa sababu mimi ni muhimili mzito zaidi ya beberu la kizungu.
Hahahahaha! Muhimili Mzito Hahahaha
Hongera Kwa Hili!

Bogoshipseyo My Chingu!

Nimeimaliza Last Empress kwa kujilazimisha Hili Nione Undezii Wa Production Team

Ni Drama Ovyo Ovyo Kabisaa!

Naomba Iyo Avatar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…