And thisssssssssssssss
Amina Shem. Nasindikizia na hizi nyimbo Let them be your songs today and forevermore.
Good, Blessed be the name of Lord........
Ohh!! Thank you Lord nothing more to say rather than Glory,Glory,Glory to you Lord.
Tized you know what....... Thank you so much nazifurahia sana hizi nyimbo zinanibariki mno you made my day today,ukiwa poa naomba mwingine wa Don Moen I will sing, Smith... Am lost without you.
I will sing- D. Moen
Breath -M.Smith
My Special dedication for you and Ntuzu
Heart like yours S.Winans
Hahaha!! Wewe Shem wewe hayo maneno ulivyoyakata ni balaa.
Bondeni nampenda Malope, Sipho, J.celebration wananibariki sana, eeeh hiyo Tambira Jehovah acha kabisa unikute sasa navyoyarudi utanipotea mpiga drum akiitendea haki drum yake weee si unajua wengine tena ndiyo disco yetu hiyo ni full kujiachia.
Tized sikufahamu km na wewe ni mpenzi kiasi hichi wa hizi nyimbo....nashukuru sn
Karibia sana at DPC - Manyanya kila jumapili ya mwisho wa Mwezi ukutane na akina John Lisu, Paul Safari, Kairuki, Rivers of Life.. Ndio nyimbo zenyewe hizo kwenye ''Praise and Worship'' kuanzia saa Nane mchana hadi saa moja jioni.. ..Tambira, Friend of God, My Redeemer Lives, Days of Elijah etc LAIVUUUUUUU its so fulfuling!!!! am not a member there but I like this service aissee.
Kumbe unaona sasa!!!! Basi nami ni mpenzi sana wa hapo japo si member napenda sana praise and worship ya pale, ni hii miezi 2 sijahudhuria .......
Karibu sana kaka. Chukua hii link hapa chini ipesti tu kwa browser yako, Uendelee kula burudani ku moyo.
https://www.youtube.com/watch?v=k83w9cGTFZQ
SIONI basi!!!!!!! Afu usije ukajikuta umeshanitumia PM (Nakemea roho ya PMs) wewe ukoje ukoje nikutafute jumapili moja... Sitajibuuuuu!!!! usije ukakuta am among the Senior Pastors pale uje uzimie hapa!! Hahahahaaa I am kidding anyway. I am just a Shamba Boy.
SIONI basi!!!!!!! Afu usije ukajikuta umeshanitumia PM (Nakemea roho ya PMs) wewe ukoje ukoje nikutafute jumapili moja... Sitajibuuuuu!!!! usije ukakuta am among the Senior Pastors pale uje uzimie hapa!! Hahahahaaa I am kidding anyway. I am just a Shamba Boy.
naweza kukuleta hapa kwenye screen yangu sasahivi wewe nichezee!!!!! Lol
Tafadhali NILETE hapo nikuone walu moyo wangu utulie!!!
Alaaaaaaaahhh!!! Tupo kwenye Gospel acha hizo!!!!
Heeeeeeee!!!! Tumeambiwa tusalimiane kwa busu Lol
Karibu sana... NTALIKOLEZEA TU pole pole.