Kwa wapenzi wa documentaries

nilukuwa natafuta hiyo documentary ya enron nimeikosa ila nimepata kitabu, kiko bomba sana

Oh pole!! lakini hutakiwi kuikosa !!
Fanya hivi , kwenye search bar type "smartest guys in the room" nina asume kuwa unatumia torrents as your downloading means , hakikisha kwenye list yako ya search engines ipo bitsnoop, pirate bay , kickass ,vector etc.. Mkuu unlike movies or music ,documentaries hazipatikani kila search engines.
kama unatapendelea kusikiliza nenda bbcpodcast/documentary zipo nyingi sana pale hadi za miaka ya nyuma .unaweza ku downloads na ku save as mp3,
 
Kuna hii "Three strike lifers"
Inahusu sheria iliyopitishwa huko california miaka ya tisini kudhibiti uhalifu, hasa repeat offenders! makosa mawili ya mwanzo wahalifu wanaweza kufungwa na kupata parole (msamaha) ,kosa la tatu lilikuwa linakufanya uende jela maisha bila msamaha , hata kama kosa hilo ni dogo , wahalifu walikuwa wanafungwa maisha hata kama aliiba soski tu kwenye kosa la tatu!!
 


Mkuu naona we have to agree to disagree kwani inaonekana tuna uelewa tofauti, anyway it was great discussion, I really enjoyed it. Tuendelee kuelimishana kupitia jukwaa letu la JF.
 
wakuu beefinjector na t blj mmetisha sana. kuna hii nyingine inaitwa congo: the river that swallow all rivers. inazungumzia course ya mto congo. kumbe chanzo chake ni huko rukwa kwenye kalambo falls!. pia huu ni mto wa pili kwa ukubwa duniani! (by water volume). ni documentary ya BBC na ni nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
thanks mkuu. lakini nimependa sana kitabu. mi sio mtu niliyesoma biashara hivyo nafurahi kujifunza vitu kama liabilities, equity, poisonous pills, golden parachute na ishu kibao kuhusu biashara.
 

me naitafuta hiyo mkuu we uliipataje kwani
 

Mdau kwenye list yako mi nimeambulia namba 18 Living with Michael Jackson...I guess na moja ilikua inaongelea "the man behind Tupac's death"
Otherwise documentary niliziwai ziona na kuzifurahia no
The Men Who Built America (hii ndio my favorite) itafuteni wadau mtaipenda inahusu how America rose to become the strongest capitalist country na jinsi hao matajiri wa kipindi hicho walivyokua wanaziona opportunities na kuzidominate..
Nyingine ni "how CIA protects US president "
Steve Jobs the documentary..
Killing of Lincoln...
Downs Nightmares
D.Day how hitler was defeated
 
kuna nyingine inaitwa chasing ice. inahusu ushahidi mabadiliko ya tabia nchi kwa kuangalia kuyeyuka kwa barafu.. ni nzuri kwa wale wanaopenda documentary za mazingira.
 
1.The Art of war- Sun Tsu (A Chinese general who wrote down the guidelines of how war should be fought and won repeatedly. Alikabithiwa jeshi la 30K men na akapiga watu 10 times the size, principle alizoziandika zilipredict fall of Nazi, na defeat of U.S in Vietnam. Mbinu alizoandika zinatumika sasa in not only war but biashara na kadha wa kadha. Very interesting stuff): Fav quote "If you are far from the enemy, make him believe you are near."
Sun Tzu
.....
2.
PLANET ANT- LIFE INSIDE AN ANTCOLONY BBC DOCUMENTARY:(well jamaa wamechukua queen wa sisimiz na kumuweka kwenye transparent container yenye chambers mbali mbali kukiwa na vyakula na cameras everywhere. I was amaized jinsi sisimizi wanavyoshilikiana na kulima uyoga huku chemba moja ikiwa ni ya maiti tu na uchafu na inakua monitored constantly! Also very interesting)
.......
3.HOW TO KILL A HUMAN BEING DOCUMENTARY:(Hii ni very dark, na kama una roho nyepesi sio ya kuangalia, jamaa wanaangalia njia zinazotumika kuulia wahalifu i.e kunyonga, sindano za sumu, gas chambers na electrocution. Ambazo the thing walichoona ni kua hizi njia ni horribly painful. Zote unakufa in huge pain hata sindano pia, so jamaa wanatafuta njia ya kumuua binadamu kiungwana bila maumivu. Oh Spoiler, walifanikiwa kupata njia hio na walipopeleka pendekezo serikalini majibu waliyopewa ni basically "Punishment is suppose to be painful and
unpleasant..." If this stuff is ur thing then go for t!!(I like watching hizi dark documentary kama kuna m2 like that hit me up, zingine naogopa hata kuziweka hapa!! )
...

4.Also kuna documentaries za scientists: hizi pia zimenishika kweli: mainly Nikola Tesla, Isaac Newton, Leonardo Da Vinci, Albert Einstein, Fibonnacci and
Archimedes!! These men wana IQ off the chart maisha yao ni interesting mwanzo mpaka mwisho!!
.....
5. Nuclear Bombs: Sijui kama lads mshaona shear power of this bombs, if not then this will show it to you!

LINKS
1.HISTORY CHANNEL - The Art of War Sun Tsu Full Documentary - YouTube
2.Planet Ant - Life Inside The Colony (Ant Documentary) Made by the BBC - YouTube
3.How to Kill a Human Being Documentary - YouTube

4 SCIENTISTS
 
ila hata ushahidi uweje uwepo wa samaki wattu ni hekaya tu.

Mkuu kwani nini kazi ya ushahidi...nielewavyo mimi kazi ya ushahidi ni kuprove any fact..
Sasa kama wewe huna ushahidi unaopinga ushahidi unatolewa na watafiti..au unabisha tu kwa kuwa hutaki kukubali...
Napenda documentaries because huwa zinatoa unknown/hidden facts au zinakupa invented/discovered facts mwisho nakufanya huwe na mawazo ambayo hajajifunga..you thinking outside the box
 
1. Seconds from Disaster
2. Nazi Underworld
3. Appocalypse of WW II (nzuri sana.
4. The Secreat of CIA Black Ops
5. Banged up Abroad
6. The Killing of Kennedy
7. Nightmare Next Door
8. Deadly Women
9. The Monster of Belgium
10. Forensic Detectives
11. Frenemies
12. Who on Eearh Did I Marry
13. Undercover Detectives
14. Dead or Alive
15. Al Nakba (very interesting)
16. The Mossad
17. Megafactories
18. The Mafia Ring
19. Korean Airline 007
20. I was Murdered
21. Deadly Sins
22. Couples who Kill
23. Disappear
24. The Aviators
25. Combat Countdown
26. On the Case with Paula Zahn
27. Hollywood: True Story
28. Treasure Quest
And so on.. Ila No. 3 & 15 are deadly the best.
 
sure mkuu. niliandika vile sababu ninajua wanachoita samaki mtu ni samaki aina ya nguva.
 

Kwa uelewa wangu nahisi conspiracy ni shemu ya documentary na wakati huo huo inawezakua ni documentary au movie..hii inategemeana na nia ya mtaarishaji..mfano kuna documentary ya "killing of Lincoln " na movie inayoitwa "Abraham Lincoln " zote zinaongelea conspiracy behind the death OG Lincoln...
Documentary zote ni narrative stories ambazo uhoji watu tofauti tofauti hili kutoa facts za jambo fulani.
Kwahiyo Documentary fulani inaweza kuwa katika muktaza wa conspiracy while nyingine ikawa katika muktadha wa proved facts lakini zote zinabaki katika mwamvuli mmoja wa documentary...
 
Kuna moja inautwa "THE SHRUB OF TURIN RESEACH" Hii inahusu Vatican walivyokubali kutoa kipande cha msalaba alichigongewa YESU na kuweza kufanya carbon 14 dating, if Is true that up to the present the shrub JESUS crucified aged 2000 years!

I guess hii ilikua inahusu sanda ya Yesu na sio msalaba...au zipo mbili mkuu..?? Maana niliyoiona mimi ni kuhusu sanda
 
Mi napenda sana za kijasusi!!! Juzi nimemaliza moja inayoongelea shirika la kijasusi la israel yaani MOSSAD...ya CIA ndo nimeimaliza!!!

Kuna hizi za hawa ma injinia wanavyoendesha ma project makubwa duniani!!! Hizi zinanivutia sana hasa jinsi jamaa wanavyofanya kazi!!!
 
mimwenyewe napenda sana za mainjinia. nilicheki moja wanaonyesha uujenzi wa hongkong international airport ni nzuri sana. kuna nyingine walikuwa wana design reli kukatisha bahari ya antlantic nayo nzuri sana. natafuta zinazohusu ujenzi wa hoover na 3 gorge dams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…