kwa wapenzi wa charlie chaplin

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
juzi kati nimezipata collection zake zilizo clear huyu jamaa alikuwa noma. story zake zimeenda shule. afu naona kama joti anamuigamuiga huyu jamaa!?. kama hujawahi ziona nakushauri zitafute. ni komedy za 1920-40 lakini nzuri kwa story na utaalamu wa kucheza kuliko hizi zetu.
 
Mkuu mbona ujatoa ushauri zinapatikana vipi? Nakumbuka wakati tupo wadogo sana tulikuwa tunamuita Chale Mbwambwambwa kipindi hicho hakuna TV ni sinema za boti la kitambaa tu.
 
mi nilizipata torrent.com wakuu ukipata blue ray inakuwa nzuri zaidi. za kitaa mara nyingi zinakuwa sio clear sana. kama huna uzoefu na torrent omba mtu akusaidie. kama unafamilia itakua mtaenjoy sana hasa kipindi hiki cha likizo na sikukuu
 
Back
Top Bottom