Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nimekuja niambie chochote ila leo umeamini
inakuwaje unaelekea kwa sweet16
Nimekuja niambie chochote ila leo umeamini
inakuwaje unaelekea kwa sweet16
achana nae huyo tuongelee yetu
nataka awe mshamba wala asijue kazi ya pili ya gegedo ni nini zaidi ya kutoa mkojo
yaani mimi ndo nimfundishe mpaka back and forth sasa ole wake aanze kukatika
1. Umemuambia nini??
2. Mlikua wapi wakati mnaambiana?
Hunganyiki eee???sidanganyiki mwenzio hapa nshapofuka namuona mo11 tu we kaa bench kwanza akichoka ntakuita
Aisee wewe embu fanya utafiti kwanzakama ni wa kiume hao watoto kwangu haina shida mtoto wa mwanamke mwenzangu ni mkubwa mwenzangu malezi watapata wakati niko kwenye foleni kumngojea baba yao ila wa kike mama yao atalea hahahahaaa huhuhuuuuu
Mimi sipendi kweli??.haya soma hapa chiniSweet16 achana na huyo hapendi nipate yeye ananiombea mabaya kila siku
Sweet16 sijui nikupe hongera au nikupe pole??achana nae huyo tuongelee yetu
muone zarithebosslady
Nasumbuliwa na kikohozi mie
hahahaha salama shem?
pole kisa nn tena ICHANA kakukimbia