MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Nisubiri nakuja utanichanganya, nachat nae pm kwanza
huku miss neddy tunapanga yetu kule Sweet16 ameshawahi wewe mshika pembe tu
Last edited by a moderator:
Nisubiri nakuja utanichanganya, nachat nae pm kwanza
huku miss neddy tunapanga yetu kule Sweet16 ameshawahi wewe mshika pembe tu
Hahah dah kazi imeisha. Miss neddy wanini tena????
sidanganyiki mwenzio hapa nshapofuka namuona mo11 tu we kaa bench kwanza akichoka ntakuita
Shemeji naomba nikusalimie
Nisalimie tu
tunabaguliwa humunndani
kama huna akupendae ???
haya bana be blessed
Mambo vipi shem??
mnanichanganya sasa siendi popote we mo11 siji apa nlikuwa nshapanda bajaj kuelekea PM nimeamua kushuka bana afu utafiti uache tabia ya kuwaaribia wenzio sasa ndo umemfanyiaje ivo mwenzio
Mambo poa kabisa sijui wewe?
Nipo poa sana shem, heri ya mapumziko
Kwi kwi kwi kwi, sikiliza mziki wake sasa ila inabidi ukae kwenye foleni kwanza, na swali la mwisho, uko tayari kulea watoto wa mwanamke mwenzako?? Sio wengi anao sita tu??
haiumizi ndio maumbile yake
Kwa hisani ya MO11
Mungu anakupenda sana zaidi ya unavyofikiria masai dada
Kwi kwi kwi kwi, sikiliza mziki wake sasa ila inabidi ukae kwenye foleni kwanza, na swali la mwisho, uko tayari kulea watoto wa mwanamke mwenzako?? Sio wengi anao sita tu??
mjini kuna watu wana roho mbaya.....!!