Kwa wapenda muziki

Kwa wapenda muziki

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Kitu hicho
Hatari sana ni wewe na spk yako ya bass na twita tu basi umepata mzk mkubwa OG kbs

Bei 35,000

0766 102 710
IMG_20210824_061837.jpg
 
Sawa ngoja wataalamu waje jiandae kujibu maswali
 
Haa 😂😁
Huo Unautumia Wapi Kwenye Bodaboda Upige Amapiano Na Singeli
 
Haa [emoji23][emoji16]
Huo Unautumia Wapi Kwenye Bodaboda Upige Amapiano Na Singeli
Hii kitu natumia kwny spk hzi usiangalie udogo wa hako ka booster hujawahi ona booster za kwny seapiano zna ukubwa gani je znalingana na mdundo unaotoka kama hujui ulz
IMG-20210826-WA0002.jpg
IMG-20210826-WA0001.jpg
IMG-20210826-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom