pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Habar wakuu kwa wale wenye mitaji kiasi na hawajui namna ya kuzalisha au hawajui cha kufanyia kuna hii kampuni ya kubet inatafuta mawakala so kwa wale wasio na job fanyen kujipngeza japo unatafuta mtu mwenye mtaji halafu ww ukawa msimamiz mkagawana faida
nimeona mahali nikaona ni share