wote, good times mume......pesa mbele!!!!!!!!!
I see! Sishangai kuona ndoa nyingi hazina amani, kama vigezo ni vya akina Evelyn Salt .... anyway, thats the modern world we live in.
haahaahaa! Kazi ipo!
hahaaa!!we huna hizo sifa Eli79?Haaaaa! Nimecheka aloo!
hahaaa!!we huna hizo sifa Eli79?
Vipo vingi na vinatofautiana mtu na mtu!
Baadhi;
-mwonekano(mtanashati )
- sauti yake anavoongea
-umbile(shape lol!) sexibode
-sura
-anavyotembea
-MALIGHAFI...(pesa,nyumba na kazi anayofanya)..inaongeza credit ila ndo common siku hizi!!
Sifa hizo sina, bahati mbaya ndo nimemkosa Passion Lady tayari. teh!
duuuh!!pole umekosa
kichuna mweeeh!!
Teh! Vigezo vingine kama wallet na kupenda d. ushe wewe huna? jaribu kufunguka labda tutapata muafaka..PL.
ndio maana nimetaka mwenye kitambi
yani lifisadi lenye hela zake!we una
mshiko wa kutosha kwani?nikufikirie hahaa!!
wote, good times mume......pesa mbele!!!!!!!!!
Likex10000
mshiko sina...kitambi sina..duuuh! nina love with passion ndo mana namtaka Passion Lady ...mhh
akha babu cha kwenda
kunilisha matembele day n' nite?aaaakuuuuu!!
ushaona shoga akee, eti nipende uzuri ntakula huo uzuri wake.....!!!!!!!