Kwa Wanawake wote wa JF

Mkuu unataka tuwaache wapweke? Acha wivu😂😂
 
Mimi nilishasema huko juu,nipo lindoni. Kwa hiyo Hakuna shida nikijumuika nao kuwatakia heri.

sophy27 muache usmtajetaje nimemuacha home kalala.
 
Pengine katuma muamala wa kujichana kesho anataka kujua kama umeuona 😅😅shuka tu
Ashajulikana kuwa hana pesa anapotezewa😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…