Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,865
Afadhali umekuja kunitetea mai dia dota. Yu da besti dota evaaa!Nwacheni daddy wangu
ππAfadhali umekuja kunitetea mai dia dota. Yu da besti dota evaaa!
Happy Women's Day ππΏπ₯π₯π₯
Thanks πThank you dear, amen to thatππ₯°
Be blessed...
Amina πAmiinaπ
KaribuAmeen....asante kwa kuniwish..
Ubarikiwe sana, kila nikiona ID yako ninakumbuka sentensi moja tu βwewe mtoto nenda kwa watoto wenzako mimi si mama yako β.
Umefanya nimecheka sana mbele ya watu hapa π π π π . Niliachwa kikatili mno.Ubarikiwe sana, kila nikiona ID yako ninakumbuka sentensi moja tu βwewe mtoto bends kwa watoto wenzako mimi si mama yako β.
Lisilo kuua linakuimarisha zaidi.Umefanya nimecheka sana mbele ya watu hapa π π π π . Niliachwa kikatili mno.
Thanks for the blessings Sky π
Ni kweli, maana siku hizi tuna mioyo iliyonakshiwa na chuma.Lisilo kuua linakuimarisha zaidi.
Nimecheka Sana sister. Alafu nilikuwa nasoma huku natembea.Achana na balimi hazikufaiππ
Mkuu huwa unajiamini Sana.Tumeshapeleka mahari.
Mshindi atajulikana muda si mrefu ujao.
Hiyo stethoscope mabegani mwako na hiyo kanzu nyeupe havitakusaidia safari hii.
Mpwa wetu mwema ni wetu hata iweje πͺπͺπͺ