Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
- Thread starter
-
- #21
utapofuliwa na ukimwi ubebe huko huko
Heheheh huyo mwanamke ni jambazi
Kakatwa na kujukata vyote vyake
Mwanamke akikwambia "nnamimba yako" mjibu, "mbona unayo wewe?"
Mwanamke akikwambia "nnamimba yako" mjibu, "mbona unayo wewe?"
Kama picha za papuchi wanatuma unamwambia tu akutumie picha ya kitumbo kikiwa wazi na yeye mwenyewe aonekane hataki basi,
mmmmhhhh tumepigwa wengi ahsante Mafikizolo kwa kutuzindua masikio..
Mjini mipango, akili ikichakarika mbona hufi njaa eti. Ila kuna wanaume sijui niwaite mazuzu au wazembe, anajifanya tu kutuma pesa while hajaona cha tumbo la mimba wala huyo mtoto eeeh jamani
Wewe mbona kila nikikutafuta hautafutiki? Nimemtuma Khantwe akulete Fasta sana. Manake mimi nikishamiss mtu sina vumilie kidogo. Njoo fasta Pm. miaMjini mipango, akili ikichakarika mbona hufi njaa eti. Ila kuna wanaume sijui niwaite mazuzu au wazembe, anajifanya tu kutuma pesa while hajaona cha tumbo la mimba wala huyo mtoto eeeh jamani
Mimi ntakuja ila huyu haji....muulize mwenyewe kama anabisha
We kwendraaa huko na uboss wake, unataka unizibie riziki eeeh. Nishatoroka nasepa kwa figganigga. mia
Uhamie hukohuko.mia
Hapo sasa na ana pelekwaje hahahah mdada mwenyewe anasema mpaka nijenge nyumba teh teh wajinga ndo waliwao.
Mtu hatakama chora huwezi gandamizia washindwa jamani