Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
Wanaume wenyewe tuko wachache, sasa unataka wakasuguliwe na nani wakati vijana ni wakiona Juma Lokole? hebu acha roho mbaya tuwasuuze vilivyo watoto wazuri
 
jamani hujawahi kuzini mama d?

Unataka niseme hapana au ndio!? Halafu ili iweje!?
Au shida yako niungane na wewe kuwafundisha watu kuzini!?

Kwa pamoja tukatae ZINAA, haifai kabisaa

UFUNUO 2:19-23
19 Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
22 Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
23 nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.
 
oopss!! mimi hata nikijua ulizini au hukuzini unadhani nitaondoka nayo?? hebu relax kunywa maji tafuta jukwaa la dini kamwage mahubiri huko hili ni mapenzi mahusiano na urafiki hizi mambo zako hapa sio mahala pake
 
Wanaume wenyewe tuko wachache, sasa unataka wakasuguliwe na nani wakati vijana ni wakiona Juma Lokole? hebu acha roho mbaya tuwasuuze vilivyo watoto wazuri
mwisho wake huwa nini??
 
Hii ni spesho Kwa Malaya na sio kwa mabinti au Wanawake.

Hakuna na hajawahi kutokea Mwanamke mwenye maadili atoke na Mume WA MTU huku akijua.
Huyo ni Malaya. Na Umalaya hauna Sababu.

Wanaume tunajua kabisa, kitendo cha kumwambia Mwanamke Nina MKE na bado anakubali mahusiano, moja Kwa moja huyo Mwanamke ni Malaya.
Lakini kuna Ile tunajua huyo demu Hana pigo za kimalaya yaani sio Malaya, ndio tunatumia Uongo na kujifanya hatujaoa.

Ni ushauri mzuri Kwa Malaya.
 
oopss!! mimi hata nikijua ulizini au hukuzini unadhani nitaondoka nayo?? hebu relax kunywa maji tafuta jukwaa la dini kamwage mahubiri huko hili ni mapenzi mahusiano na urafiki hizi mambo zako hapa sio mahala pake

Uspanic kiasi hicho😅😅
Jukwaa huru hili
Ukiwa tayari kuandika uwe tayari kupokea yanayoandikwa
Vinginevyo nenda inbox
 
Usichokijua ni kwamba mapenzi yanatengenezwa kidogo kidole.
 
Uspanic kiasi hicho😅😅
Jukwaa huru hili
Ukiwa tayari kuandika uwe tayari kupokea yanayoandikwa
Vinginevyo nenda inbox
yani nipaniki kwa sababu ya utakatifu wako nyuma ya keyboard, are you serious kweli mamii? hauna maajabu yaani kwa kifupi hujanikwaza na wala siwez kupanic kwa mambo madogo sana relax, take an easy, ishi maisha yako kila aliekoment hapa nimemjibu iwe kakoment ujinga wengine nimewapuuzia so kuhusu wewe kua na amani hili ni sinia napakua ninachoweza.
 
Hakuna tabia mbaya dear, mume wamtu akiamua kukufuata akakutongoza na ukajua huyu ni mume wa mtu my friend kula hela zake usiwekeze moyo wako wala hisia zako hapo
Nadhan ukijua alokutongoza ni mume wa mtu usikubali.
Kumbuka, we cross tbe river twice.
Siku mume wako anamtongoza mwingine na anakula hela zake, utajisikiaje wewe mwanamke?

Hii ya kula hela zake HAPANAAAAA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom