Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Hata wao hawapendi kufall na waume za watu 😂😂😂ni moyo una maujinga
Bado hujatibu tatizo , wafundishe mabinti kukataa waume za watu "NO" , sasa unazungumzia kula pesa ukishakula hela za mwanaume lazima utazitumikia hakuna free lunch !! Magonjwa na mimba zisizotarajiwa utatoa mpaka lini !! Na sio kila mwanaume atakubali utoe mimba yake !!
ukishakua na akili ya kujua huyu ni wa mtu lazima uwe makini, hao wanaozaa au kutegea mimba wana uzi wao maalum kwa sasa ni kutambua huyu s wako
 
Lakini na mimi nina nafasi ya kuwa mke si ndio? Awali zingine ni mbovu bwana [emoji16]
uke wenza 🤔🤔 wanauweza bala hatun na malhun hatun wa ottoman sisi wengine hasa ngozi hii nyeusi kama huna presha utaipata ya burree
 
Aaah mama mwana nitake radhi, mm kitombi bhn sio Mt**bwaji
ooh sasa muache kudanganya mabinti wa watu halaf mnakuaga so romantic sana yan mdada akipenta anakua na mapento shatashata kutoka itumike nguvu
 
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
Kuna jina kwa watu wenye tabia hizo unazowashauri wenzako wazifanye, jina ambalo jamii hawalipendi kabisa!
 
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
ukisikia kuchaniana mikeka ndio huku😒
 
Kazee kana sura personal lakini kina hela hatari, kana peleka moto hatariii kadada kana fall in love. kinapigwa buti kule kama Kajala na Harmonize 🤣🤣🤣
 
Wengi watakukubalishia tu lakini ukweli wanaujua, hakika wanatupa mapenzi bila hata kuomba hizo pesa.

Tena wanatamani tuwaweke kuwa wake wa pili.
kwa kua romantic mmebarikiwa sana hakika motoni mna nafasi yenu high class
 
Mie kweli sipendi mtu aliyeoa . Kwasababu mimi sijui kupretend napenda kweli so nakaaga na hao watu pembeni nashauri kaeni mbali na wanaume zawatu wanakupenda sana ila hawana chakukupa chafaida serious
 
wewe unajielewa keep it up, kuna hao wengine hawasikii na hawajielew ndio linawahusu
 
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
Na sisi tuliofall kwa wababa walio oa tunacomment hapahapa? 😀😀😀😀

Anyways mi niko single ila wababa wenye ndoa zao aki wanakuga poa sana
 
mambo ilegal huwa ni 🔥🔥🔥
ushikwe sasa
 
Na sisi tuliofall kwa wababa walio oa tunacomment hapahapa? 😀😀😀😀

Anyways mi niko single ila wababa wenye ndoa zao aki wanakuga poa sana
wewe koment hapahapa, wanakuwaga very sweet ukilogwa ukanasa kwao kutoka yataka maombi ya siku 40 na kufunga juu
 
ooh sasa muache kudanganya mabinti wa watu halaf mnakuaga so romantic sana yan mdada akipenta anakua na mapento shatashata kutoka itumike nguvu
Kwa taarifa yko Leo hii tu n ishaopoa na kumdanganya, hiyo kesho ijumaa naenda kumalizia kazi location, baada ya hpo napotea km kiwingu mamaa [emoji3]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom