Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Wapi nikuletee maua yako? Asante kwa kuwakumbusha, na mume wa mtu usimpe mapenzi bure au kwa kumuonea huruma, kwako analia lia kukupa laki 2 wakati kwake katoka kununua gari.

Hata hivyo tuwashukuru, wanatuboreshea sana ndoa zetu, tukiwanunia waume zetu waende wapi? Waende nje kupoza machungu, hasira zikiisha watarudi tubembelezane na tupange upya mipango ya familia 😂
 
halaf wanaume hawaachagi wake zao waliopata shida pamoja despite magum mangapi watapitia alimradi walihangaika pamoja hawaachani bali waatengana
 
Wanaongeaga tu hao mkuu, action zero wew muwekee mtego utanipa Mrejesho.... Anayejielewa kasoma huu Uzi Ila hajacomment
mtego mkuu ni hela sasa unatoka nje ya ndoa unatafta mchepuko huna hela ukapambane na mkeo tu, lakini kama unazo hela ukampa muda wako utampata tubshida ni yeye binti anajielewa kiasi gan kukuruhus uingie moyon mwake
 
Acha kuwafundisha tabia mbaya, muhimu tu enjoy tu; hayo ya kufilisiana hayana maana
 
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
SAWA kabisa
JamiiForums791503453.jpg
 
Hivi mwanamke anawezaje kuinjoi penzi la mume wa mtu? Na nyie wakati mwingine huwa mnajizima sana data aisee 🤔
we we we, wanaume za watu mostly wanaotoka nje wanakuwaga romantic sana yan msichana anaona kabisa huyy ndio mr right wangu shida tu amewahi kuoa sjui mnaulkuwaje lakini mnajali vibaya sana
 
Kwa taarifa yko Leo hii tu n ishaopoa na kumdanganya, hiyo kesho ijumaa naenda kumalizia kazi location, baada ya hpo napotea km kiwingu mamaa [emoji3]
unaona unayawezaaa mwenyewe ipo siku yako
 
we we we, wanaume za watu mostly wanaotoka nje wanakuwaga romantic sana yan msichana anaona kabisa huyy ndio mr right wangu shida tu amewahi kuoa sjui mnaulkuwaje lakini mnajali vibaya sana
Ni kweli huwa tunajali sana ila angekuwa mume wako kuna raha yake zaidi. Vingi tunavyofanyaga ni unafiki ili mtuone tumekufa kwa mchepuko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom