sasa yote y ninimambo ilegal huwa ni 🔥🔥🔥
ushikwe sasa
Naomba nitumie good news yangu hata kwa bus plsukisikia kuchaniana mikeka ndio huku😒
Wanawake wengi wana stress wanatafuta bega la kulalia kutoa maumivu yao. Sasa mwanaume mwenye mke huwa kishasoma madhaifu ya wanawake walio umizwa.na mwanamke ukishampea hela na muda umempata haijalishi utakua umeoa au la
hujui tabia za wanadamusasa yote y nini
Sana mwanzoni ila katikati ndio shughuli huanzaNa sisi tuliofall kwa wababa walio oa tunacomment hapahapa? 😀😀😀😀
Anyways mi niko single ila wababa wenye ndoa zao aki wanakuga poa sana
wewe uko very good upstairs, mwanamke ukishajitambua hakuna wa kukushusha thaman yako na ukishaelewa nafasi yako unaishi fresh bila stressNdio mwisho wasiku unakuta anakuacha unamtoto wake na pale unapomwitaji hayupo unabaki single mother yaani kwa umri huu haifai kabisa walahi.
Saaana imagine unapewa mdinyo safi, unatunzwa, hubanwi sana aloooomambo ilegal huwa ni 🔥🔥🔥
ushikwe sasa
😅😅😅😅 acha nifanye setup za namba upateNaomba nitumie good news yangu hata kwa bus pls
ulipata mmoja?Wapo ambao hawarudi
😀😀😀😀balaaaSana mwanzoni ila katikati ndio shughuli huanza
hata sielewiKwani imekuaje???🙄🙄
😅😅 ila za mwizi huwa 40Saaana imagine unapewa mdinyo safi, unatunzwa, hubanwi sana aloooo
Waume za watu mbinguni moja kwa mojawewe koment hapahapa, wanakuwaga very sweet ukilogwa ukanasa kwao kutoka yataka maombi ya siku 40 na kufunga juu
Wanaongeaga tu hao mkuu, action zero wew muwekee mtego utanipa Mrejesho.... Anayejielewa kasoma huu Uzi Ila hajacommentwewe unajielewa keep it up, kuna hao wengine hawasikii na hawajielew ndio linawahusu
Ukidakwa umetaka😀😅😅 ila za mwizi huwa 40
Wapo ndio. . Hujui amaulipata mmoja?