Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume (sperms donor)

Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume (sperms donor)

Aisee dunia imeharibika sana, huu upuuzi kuliko upuuzi ambao watu walizini na sanamu Mungu akaghafilika duh! Naharibu hiyo mimbegu yenu Kwa Jina LA YESU, NAWAKAZALIWE MAJITU YENYE PEMBE KAMA MBUZI NA MIDOMO KAMA FARASI NA WATU WOTE WASEME AMENI
 
yaani haya ni makubwa tena sana yabidi tufanye maombi sana, yani mnaingilia mpango wa Mungu na chimbuko la uumbaji wa Mungu kwa mwanadamu, hamuoni kuwa mnakkufuru nyie hamuoni kuwa msingi wa ndoa aliyeanzisha ni Mungu na nidiye aliyesema zaeni mkaongeze nchi, ni utaalamu gani wa kimapepo mnaotaka kuleta hapa nchi kwetu, kwanini hamna mawazo chanya jinsi gani mwaweza kutatua matatizo kama hayo kwa wanawake wasiozaa, yani msipotubu dhambi yenu hiyo hakika mtaangamia, hamuwezi kumpinga Mungu ambaye ndiye muumbaji na ndiye mwanzilishi wa ndoa yani mmeniuzi sana ngoja niwaite hawa wanisaidie, Smile, charminglady, Lady doctor, Passion Lady, amu, Mtambuzi, Bujibuji, Arushaone, Filipo, sweetlady, na Erickb52 kujeni huku muone hawa watu wanaoshangaza dunia
Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume,sasa zinapatikana hapa hapa Tanzania kwa bei nafuu. Tunazo mbegu za wanaume waaina 10 mpaka saa hizi katika stoo yetu.
Mbegu ni za ubora wa hali ya juu ambazozimethibitishwa katika maabara kwa uwezo mkubwa wa kutungisha mimba (spermcount, speed na maumbile).

Baada ya mteja kuchagua sampuli ya mbegu kutokana naaina ya mwanaume na umbile atakalopenda tunatumia njia mbili kutungisha mimbakwa mwanamke.

1. Artificial.Hii ni njia ambayo mwanamke akishachagua sampuli ya mbegu, mbegu zinawekwakwenye tube iliyo kama bomba la sindano (syringe)na mbele iko kama tube ambayomwanamke mwenyewe peke yake atalala kitandani na kujiwekea mwenyewe siku ambayomadaktari wetu watamshauri kuweka baada ya kusoma mzunguko wake wa hedhi. Hiini njia ambayo mteja atatakiwa kulipia TShs 50,000. Kama atataka kupelekewahuduma hii alipo atagharamia huduma ya usafiri wa kutoka ofisi yetu mpakaatakapotaka apewe huduma hii.

2. Natural.Hii ni njia ambayo amwanamke akishachagua picha ya aina ya mwanaume anayetakakupewa mbegu. Mawasilianao yatafanywa na wachangiaji (donor) wetu na tarehe itapangwa baada yamadaktari wetu kusoma mzunguko wa hedhi wa mteja ambapo mteja atafanya tendo landoa (sex) na mteja wetu mara 2 kwa siku 2. Njia hii ina sharti moja kubwa ambalo mteja lazima akubali kufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ikiwepo na ukimwi.

Kwa njia zote mbili mteja atatakiwa kujaza mkatabaambao hatatakiwa kudai madai yoyote ya gharama za matunzo ya mtoto kutoka kwetuau wachangiaji (donors) wetu isipokuwa ataweza kupewa haki (kama atapenda) yakupata taarifa za donor wake na jinsi ya kumpata kama atataka hapo baadaekumwonyesha mtoto baba yake mzazi (biological father). Mambo ya kuwekwa kwenyemkataba ni baada ya majadiliano na mteja.

Huduma hii ipo Dar es salaam na mikoani inapatikanakwa gharama maalumu. Kwa mawasiliano tuandikie email ifuatayo “darfertilityclinic2013@gmail.com”au niandikie Private mail (PM) hapa jamii forum halafu tutakupa namba zamawasiliano.
 
Last edited by a moderator:
ntajuaje ni mbegu ya binaadamu,je kama ni ya nguruwe?????nataka kuiona sura ya huyo mbaba je nsije zaaa remmy ongara mie lol
 
Aiseee! Is this guy serious?
nimefurahi sana kuna wanaume wanaringa na mbegu zao sana hapa mjini unamwomba mbegu anadengua biashara ya mtu anakataa kulea mtoto unamlea anakuja sema oh baba ni baba nataka mtoto wangu baaaaaas hili ndilo sulihisho
 
msisahau kwa kuna wanawake wahitaji watoto tu hata kama baba hajulikani .. yap hii nimeipenda kwan kuna uwezekana wa kuna na mama mwenye watoto watano lakin yeye ni bikra(hajawahi kutana na mwanume)
 
Mimi nahitaji yai la mwanamke kwa njia ya natural. Dose kwa siku mara mbili, Lol!
 
na mie nataka ovaries za wanawake wazuri ,,,
kirohosafi ili nikazifetilize tuendeleze kizazi
 
yaani wanaume wote tuliojaa dar hii bado uende ukatafute mtoto asiye na baba,kweli ukishangaa ya musa....
 
Kila biashara ina mteja,,,Wakati tukishangaa tutaanza kuambiwa Mbegu zinapatikana kwa shida au tumezidiwa na wateja;
Bongo tambarare sana asa Hv...
 
..
... Mm nilikuwa NATAFUTA MBEGU ZA MBWA ... German shepard original breed.... ukipata ni pm...!!!
 
Kwa sayansi ndogo niliyonayo, vinasaba (genes) zimegawanyika sehemu mbili. Kuna GENOtype (genetic makeup of an organism) na PHENOtype (physical appearance of an organism). Kwa maana hiyo, mtu akizaa na mwanaume fulani au mwanamke fulani, sio lazima sura ya mwanaume/mwanamke huyo au umbile la mwanaume/mwanaume huoi lije litokee kwa mtoto huyo mzaliwa. Huenda ikaja kutokea hapo baadaye sana kwa wajukuu, vitukuu ama vilembwe. Sayansi iliyotafitiwa inatueleza hivyo na mifano ipo. Kuna familia zinazaa watoto warefu kupita kiasi ilhali wazazi ni wafupi. Kuna familia zinazaa watoto albino ilhali kwenye ukoo mzima hakuna albino, anazaliwa mtoto mtukutu kupitiliza kwenye familia yenye maadili ya hali ya juu n.k. Wengi tunaangalia wajihi (phenotype), bila kuzingatia upande mwingine wa shilingi (genotype). Suala hili la 'Sperm donation' linapaswa kuangaliwa sana na akina dada wanaopanga kutumia mbinu hiyo ya uzazi kama solution ya kupata watoto 'handsome' ama 'beautiful' 'warefu', 'shombeshombe' na sifa nyinginezo zinazoendana na wajihi wa watoto (PHENOTYPE) wanaowataka. Sperm donation nashauri itumike kwa minajili ya kupata mtoto, regardless ya mwonekano wake pale azaliwapo, kwa sababu huwezi jua huyo mzazi mwenzako kabeba nini kwenye genetics zake. Hata wazazi wetu hapo zamani walikuwa wanakataa watoto wao kuoa ama kuolewa na koo fulani fulani kwa sababu ya hizo genetics. Unakuta kuna familia zina vicha.a wengi sana, baadhi zina magonjwa ya kuhamishika kama sickle cell n.k. Ukiangalia kwa mwonekano, si rahisi kujua mambo hayo. Sayansi yangu ndogo inanielekeza hivyo, nakaribisha mjadala.
Ujumbe huu uwafikie Bujibuji, PakaJimmy, Mtambuzi, ram, madameB, Preta, Asprin na Invisible, @ab Titchaz
 
Mkuu Idimi,
Umeeleza kwa kinagaubaga sayansi ya jambo hili, kiasi kwamba atakayependa kwenda huko kuwekezwa au kufanywa ili apate mtoto na ajue replication yake huko mbele ya safari (future)! How come mtu ufanye kuchagua sura ya mwanaume au kusoma maelezo yake kwenye karatasi, then umpende ghafla na kutaka mbegu zake!...anyway, hili ni soko huria, huenda kuna wenye uhitaji wa huduma hii!

Tatizo kubwa la sisi waswahili huwa hatufanyi kiutafiti kidogo cha mtu ambaye tunataka kuwa na mahusiano naye kwa kujiuliza anaweza kuwa na vinasaba vya namna gani kwa maana ya genotype, lakini ni suala la muhimu mno, maana ndiyo linalobeba 'utu' wa mtu husika.

@Heinrich Himmler, hujatuambia bei ya huduma hizo ni shs ngapi, maana naona kama umetaja Tshs 50,000 tu ambayo ni ya kufikisha huduma nyumbani!
Bei ya huduma hiyo nadhani kidogo itareflect bei ya 'mtu' au 'binadamu'!:coffee:...anayejua please anisaidie bei ya 'mtu'!
 
Back
Top Bottom