Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume (sperms donor)

Mitaani kuna magawa mbegu mengi tu tena hata hayachaji pesa, weye jipitishe tu huku unabinua binua mkia yenyewe yatajiongeza, kama bia utakunywa, kama chips kuku utakula na mbegu tapewa bureeee kabisa!
 
Idimi you are very smart, sisi ni wamanyafu na huwezi kutujua hadi uujue ukoo wetu
Kwa sayansi ndogo niliyonayo, vinasaba (genes) zimegawanyika sehemu mbili. Kuna GENOtype (genetic makeup of an organism) na PHENOtype (physical appearance of an organism). Kwa maana hiyo, mtu akizaa na mwanaume fulani au mwanamke fulani, sio lazima sura ya mwanaume/mwanamke huyo au umbile la mwanaume/mwanaume huoi lije litokee kwa mtoto huyo mzaliwa. Huenda ikaja kutokea hapo baadaye sana kwa wajukuu, vitukuu ama vilembwe. Sayansi iliyotafitiwa inatueleza hivyo na mifano ipo. Kuna familia zinazaa watoto warefu kupita kiasi ilhali wazazi ni wafupi. Kuna familia zinazaa watoto albino ilhali kwenye ukoo mzima hakuna albino, anazaliwa mtoto mtukutu kupitiliza kwenye familia yenye maadili ya hali ya juu n.k. Wengi tunaangalia wajihi (phenotype), bila kuzingatia upande mwingine wa shilingi (genotype). Suala hili la 'Sperm donation' linapaswa kuangaliwa sana na akina dada wanaopanga kutumia mbinu hiyo ya uzazi kama solution ya kupata watoto 'handsome' ama 'beautiful' 'warefu', 'shombeshombe' na sifa nyinginezo zinazoendana na wajihi wa watoto (PHENOTYPE) wanaowataka. Sperm donation nashauri itumike kwa minajili ya kupata mtoto, regardless ya mwonekano wake pale azaliwapo, kwa sababu huwezi jua huyo mzazi mwenzako kabeba nini kwenye genetics zake. Hata wazazi wetu hapo zamani walikuwa wanakataa watoto wao kuoa ama kuolewa na koo fulani fulani kwa sababu ya hizo genetics. Unakuta kuna familia zina vicha.a wengi sana, baadhi zina magonjwa ya kuhamishika kama sickle cell n.k. Ukiangalia kwa mwonekano, si rahisi kujua mambo hayo. Sayansi yangu ndogo inanielekeza hivyo, nakaribisha mjadala.
Ujumbe huu uwafikie Bujibuji, PakaJimmy, Mtambuzi, ram, madameB, Preta, Asprin na Invisible, @ab Titchaz
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume,sasa zinapatikana hapa hapa Tanzania kwa bei nafuu. Tunazo mbegu za wanaume waaina 10 mpaka saa hizi katika stoo yetu.
Mbegu ni za ubora wa hali ya juu ambazozimethibitishwa katika maabara kwa uwezo mkubwa wa kutungisha mimba (spermcount, speed na maumbile).

Baada ya mteja kuchagua sampuli ya mbegu kutokana naaina ya mwanaume na umbile atakalopenda tunatumia njia mbili kutungisha mimbakwa mwanamke.

1. Artificial.Hii ni njia ambayo mwanamke akishachagua sampuli ya mbegu, mbegu zinawekwakwenye tube iliyo kama bomba la sindano (syringe)na mbele iko kama tube ambayomwanamke mwenyewe peke yake atalala kitandani na kujiwekea mwenyewe siku ambayomadaktari wetu watamshauri kuweka baada ya kusoma mzunguko wake wa hedhi. Hiini njia ambayo mteja atatakiwa kulipia TShs 50,000. Kama atataka kupelekewahuduma hii alipo atagharamia huduma ya usafiri wa kutoka ofisi yetu mpakaatakapotaka apewe huduma hii.

2. Natural.Hii ni njia ambayo amwanamke akishachagua picha ya aina ya mwanaume anayetakakupewa mbegu. Mawasilianao yatafanywa na wachangiaji (donor) wetu na tarehe itapangwa baada yamadaktari wetu kusoma mzunguko wa hedhi wa mteja ambapo mteja atafanya tendo landoa (sex) na mteja wetu mara 2 kwa siku 2. Njia hii ina sharti moja kubwa ambalo mteja lazima akubali kufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ikiwepo na ukimwi.

Kwa njia zote mbili mteja atatakiwa kujaza mkatabaambao hatatakiwa kudai madai yoyote ya gharama za matunzo ya mtoto kutoka kwetuau wachangiaji (donors) wetu isipokuwa ataweza kupewa haki (kama atapenda) yakupata taarifa za donor wake na jinsi ya kumpata kama atataka hapo baadaekumwonyesha mtoto baba yake mzazi (biological father). Mambo ya kuwekwa kwenyemkataba ni baada ya majadiliano na mteja.

Huduma hii ipo Dar es salaam na mikoani inapatikanakwa gharama maalumu. Kwa mawasiliano tuandikie email ifuatayo “darfertilityclinic2013@gmail.com”au niandikie Private mail (PM) hapa jamii forum halafu tutakupa namba zamawasiliano.

'Mmenikunajeeee' nilitaka kufanya hii issue india ila hapo namba 2 kidogo kwangu pagumu.
Mimi nitahitaji mimba c' hitaji kufanya mapenzi na mtu
 
Mimi nafikiri tunaweza tukaliangalia suala hili kwa mtazamo mwingine. Je hii haiwezi kuwa suluhisho kwa wanandoa ambao mwanaume ana low sperm count au hana uezo wa kumpa ujauzito mwenza wake wa ndoa?
 
Kwa sayansi ndogo niliyonayo, vinasaba (genes) zimegawanyika sehemu mbili. Kuna GENOtype (genetic makeup of an organism) na PHENOtype (physical appearance of an organism). Kwa maana hiyo, mtu akizaa na mwanaume fulani au mwanamke fulani, sio lazima sura ya mwanaume/mwanamke huyo au umbile la mwanaume/mwanaume huoi lije litokee kwa mtoto huyo mzaliwa. Huenda ikaja kutokea hapo baadaye sana kwa wajukuu, vitukuu ama vilembwe. Sayansi iliyotafitiwa inatueleza hivyo na mifano ipo. Kuna familia zinazaa watoto warefu kupita kiasi ilhali wazazi ni wafupi. Kuna familia zinazaa watoto albino ilhali kwenye ukoo mzima hakuna albino, anazaliwa mtoto mtukutu kupitiliza kwenye familia yenye maadili ya hali ya juu n.k. Wengi tunaangalia wajihi (phenotype), bila kuzingatia upande mwingine wa shilingi (genotype). Suala hili la 'Sperm donation' linapaswa kuangaliwa sana na akina dada wanaopanga kutumia mbinu hiyo ya uzazi kama solution ya kupata watoto 'handsome' ama 'beautiful' 'warefu', 'shombeshombe' na sifa nyinginezo zinazoendana na wajihi wa watoto (PHENOTYPE) wanaowataka. Sperm donation nashauri itumike kwa minajili ya kupata mtoto, regardless ya mwonekano wake pale azaliwapo, kwa sababu huwezi jua huyo mzazi mwenzako kabeba nini kwenye genetics zake. Hata wazazi wetu hapo zamani walikuwa wanakataa watoto wao kuoa ama kuolewa na koo fulani fulani kwa sababu ya hizo genetics. Unakuta kuna familia zina vicha.a wengi sana, baadhi zina magonjwa ya kuhamishika kama sickle cell n.k. Ukiangalia kwa mwonekano, si rahisi kujua mambo hayo. Sayansi yangu ndogo inanielekeza hivyo, nakaribisha mjadala.
Ujumbe huu uwafikie Bujibuji, PakaJimmy, Mtambuzi, ram, madameB, Preta, Asprin na Invisible, @ab Titchaz

Mkuu Idimi, haya mambo bhana yana utaalamu wake.
Yaani we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
duh! naweza kupata hizo mbegu nusu kilo? au moja yatosha?
 
yaani wanaume wote tuliojaa dar hii bado uende ukatafute mtoto asiye na baba,kweli ukishangaa ya musa....

wanaume wengi ila mababa wawajibikaji kwa familia zao wachache. bora hii huduma imetufikia aisee.
 
Huduma hizi zipo muda, watanzania walikuwa wakizifuata nje kwa aijili ya test tube babies. Lakini hata hao test tube baby huko majuu zilishawahi tokea kesi wanandoa kupandikizwa mayai yasiyokuwa yao na kuna twin mmoja mweusi alizaliwa kwenye white family... Kwahiyo hata kama huitaji mbegu zao bado chances ya kupata mtoto asye wenu ipo. Tukija kwenye sperm donor nadhani itawafaa wanandoa wenye kasoro, na kwa wenzetu sidhani kama bila ndoa inayotambulika utapewa hii huduma kwani huofia single parent akifa mtoto kupata shida hii ni hata kwa adoption. Na mojawapo ya haki wanazolilia ndoa za jinsia moja ni kutambulika ili waweze kuadopt watoto. Sasa hii sperm donation italetelezea watoto kulelewa kwenye familia hizo na hivyo kuharibiwa na maadili hayo. Madhara mengine ni kama alivyoelezea Idimi.
 
wanaume wengi ila mababa wawajibikaji kwa familia zao wachache. bora hii huduma imetufikia aisee.
ukitumia hiyohuduma utapata baba muwajibikaji???,mimi nahisi kamamtu una shida sana ya mtotona hutaki uzae na mwanaume bora uadapt tu watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kuliko hii tena utapata thawabu juu!!
 
unakuwa unajijua upo mwenyewe na uwajibikaji wote juu yako!!! hakuna stress za baba wala nini!!!
 
Mkuu Idimi, haya mambo bhana yana utaalamu wake.
Yaani we acha tu.

Hapo sasa.
Kitu kingine cha kujazia ni kwamba, hizo GENES ambazo mnagawiana, kuna ambazo ni dominant na nyingine ni recessive. Kwa hiyo basi, iwapo genes za huyo mume ni recessive (hazina nguvu) basi zile za mwanadada ndio zitatawala mwonekano wa mtoto husika. Upo hapo Madame B? Hayo mambo ni magumu, sio suala la kupunguziana sha.hawa tu, kuna mengine magumu zaidi ndani ya hizo mbegu.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana yaani ishu,kuliko kuzaa ni midume isiyojua umuhimu wa matunzo kwa mwanae wa damu bora ukupandikizwe ujibebee kimimba chako,uzae ujue huna presha za kumfuatilia njemba,midume ya cku hzi inasubiria ulee,usomeshe kisha kwa bahat nzuri mtoto akishakua mtu mzim na kutoka kimaisha ndo yanajitokeza et hoo..mimi ndo babaako,nisamehe...ilikua ni ujana,wengine hoo...mamaako alikua mkorofi ndo maana nikaamua kutupa jongoo na mti wake....BULLSHIT.hapa ndo kiboko,najipanga,nitawatafuta,njooni arusha.
 
Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume,sasa zinapatikana hapa hapa Tanzania kwa bei nafuu. Tunazo mbegu za wanaume waaina 10 mpaka saa hizi katika stoo yetu.
Mbegu ni za ubora wa hali ya juu ambazozimethibitishwa katika maabara kwa uwezo mkubwa wa kutungisha mimba (spermcount, speed na maumbile).

Baada ya mteja kuchagua sampuli ya mbegu kutokana naaina ya mwanaume na umbile atakalopenda tunatumia njia mbili kutungisha mimbakwa mwanamke.

1. Artificial.Hii ni njia ambayo mwanamke akishachagua sampuli ya mbegu, mbegu zinawekwakwenye tube iliyo kama bomba la sindano (syringe)na mbele iko kama tube ambayomwanamke mwenyewe peke yake atalala kitandani na kujiwekea mwenyewe siku ambayomadaktari wetu watamshauri kuweka baada ya kusoma mzunguko wake wa hedhi. Hiini njia ambayo mteja atatakiwa kulipia TShs 50,000. Kama atataka kupelekewahuduma hii alipo atagharamia huduma ya usafiri wa kutoka ofisi yetu mpakaatakapotaka apewe huduma hii.

2. Natural.Hii ni njia ambayo amwanamke akishachagua picha ya aina ya mwanaume anayetakakupewa mbegu. Mawasilianao yatafanywa na wachangiaji (donor) wetu na tarehe itapangwa baada yamadaktari wetu kusoma mzunguko wa hedhi wa mteja ambapo mteja atafanya tendo landoa (sex) na mteja wetu mara 2 kwa siku 2. Njia hii ina sharti moja kubwa ambalo mteja lazima akubali kufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ikiwepo na ukimwi.

Kwa njia zote mbili mteja atatakiwa kujaza mkatabaambao hatatakiwa kudai madai yoyote ya gharama za matunzo ya mtoto kutoka kwetuau wachangiaji (donors) wetu isipokuwa ataweza kupewa haki (kama atapenda) yakupata taarifa za donor wake na jinsi ya kumpata kama atataka hapo baadaekumwonyesha mtoto baba yake mzazi (biological father). Mambo ya kuwekwa kwenyemkataba ni baada ya majadiliano na mteja.

Huduma hii ipo Dar es salaam na mikoani inapatikanakwa gharama maalumu. Kwa mawasiliano tuandikie email ifuatayo “darfertilityclinic2013@gmail.com”au niandikie Private mail (PM) hapa jamii forum halafu tutakupa namba zamawasiliano.
sasa ili kua donor unafanyaje kama ina wezekana kunijibu kwa PM basi fanya hivyo
 
'Mmenikunajeeee' nilitaka kufanya hii issue india ila hapo namba 2 kidogo kwangu pagumu.
Mimi nitahitaji mimba c' hitaji kufanya mapenzi na mtu

utakuwa tasa wewe
 
Back
Top Bottom