Kwa wanawake walioolewa wanatoka nje ya ndo?

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,975
3,824
Habari za wakati huu,
naomba kwa dhati tuzungumzie suala hili,wote wanaume kwa wanawake...kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa,?sisemi kuwa wanaume hawatoki nje ya ndoa,ila hata ukiangalia thread nyingi za humu jamvini,nyingi ni za wanaume wanaokuwa na uhusiano na wanawake walio kwenye ndoa,..kwa vyovyote vile kuna tatizo hapo.,na ndipo nataka tuongelee,hivi wanaume walio kwenye ndoa wana matatizo gani,au hao wanawake wanamatatizo gani mpaka watoke nje ya ndoa.?
mimi nawajua wadada watano walioolewa na wana mahusiano nje ya ndoa..na najua humu jamvini mko wengi wenye mifano,
na tujadili.
 
Sababu za watu kutoka nje ya ndoa sio universal. Kila atokaye huwa ana sababu zake.
 
1. Just because they can.
2. Wanapokuwa ignored by waume zao na admired by other men.
3. Wanapokuwa cheated.
4. Wanapotafuta kitu au nafasi.
5. Wasipotoshelezwa kingono na waume zao.

Hizi ni possible sababu ninazodhani kwanini wanawake hucheat!
 
Right on points big sisy...........

7. Dharau
8. Vipigo
9. Kutosikilizwa
 
mie nikicheat simlaumu mtu yeyote kanisababisha, ni mie mwenyewe nimejisababisha.

Uaminifu ni imani kama imani zingine, ni aidha ni muumini au siyo.

Kwa nini uruhusu mtu uliyekutana naye ukiwa na meno 32 afute yooote uliofundishwa tangu mtoto au akufanye ufanye usichotaka kufanya.

Hizo sababu zote ni 'scapegoat' tu
 
Mimi sidhubutu kabisa naona kama namdhakilisha mume wangu na je akigundua mi ntamwangaliaje na niliapa kuwa mwaminifu kwake?pia yeye is so faithful kila mmja wetu anahofu asiwe chanzo cha mafarakano,istoshe hakuna ambacho hakipati au sijipati ,japokuwa labda sio vile alivyo au nilivyotarajia ila kwakuwa mungu alipenda tuwe pamoja tumneridhika sanaaaaaaaaa.asante mtoa mada.nashauri kuridhika na kile upatacho toka kwa mpenzio unaweza kucheat ukakuta huko ndo hovyoooo ukajutaaaaa.
 
Kuna mwanamke mtaani kwetu anamiliki kasaloon ana mume dereva tax mwanamke anataka mambo makubwa kuliko kipato chao anakaa kichochoroni hapa hata pa kugeuza gari anataka lunch five star hotel atapata wapi zaidi ya kujiuza nje akapata kakijana kakichuna sasa amemuacha huyo kaka na ujinga wake anakula vumbi na alizoea range rover kumbe ametembea na mwanamke mwenye mkosi tena jimama halina umri mbali na mama yake mzazi. familia ya kijana ni tabu tu

umenikumbusha hii story hapo pia utapata jibu tamaaa mbaya
 
1. Just because they can.
2. Wanapokuwa ignored by waume zao na admired by other men.
3. Wanapokuwa cheated.
4. Wanapotafuta kitu au nafasi.
5. Wasipotoshelezwa kingono na waume zao.

Hizi ni possible sababu ninazodhani kwanini wanawake hucheat!

na ukute mume wake hana uwezo kifedha na anatokea mwanaume ambae anaweza kukidhi mahitaji ya mwanamke kifedha
 
Habari za wakati huu,
naomba kwa dhati tuzungumzie suala hili,wote wanaume kwa wanawake...kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa,?sisemi kuwa wanaume hawatoki nje ya ndoa,ila hata ukiangalia thread nyingi za humu jamvini,nyingi ni za wanaume wanaokuwa na uhusiano na wanawake walio kwenye ndoa,..kwa vyovyote vile kuna tatizo hapo.,na ndipo nataka tuongelee,hivi wanaume walio kwenye ndoa wana matatizo gani,au hao wanawake wanamatatizo gani mpaka watoke nje ya ndoa.?
mimi nawajua wadada watano walioolewa na wana mahusiano nje ya ndoa..na najua humu jamvini mko wengi wenye mifano,
na tujadili.

Ningefurahi zaidi kama ningejua ID yako unayotumia siku zote na sio hii,maana hainiingii akilini kuwa wewe toka ujiunge 2009 mpaka leo una posts 77 tu..!!Duh...!!!
 
Kongosho
Hizo nilizotaja hapo juu na wengine wakaongezzea ni vitu vinavyopelekea mtu kucheat, na maamuzi ya kucheat bado yakabaki ya mchitaji mwenyewe.

Hata wewe unavyooamua mwenyewe u must have a reason hata kama mume hajainflunce, say umekutana be mtu unayemuadmire au vipi; na ndio maana no 1. nikasema 'just because they can' u can add 'n they want'.

Mtoa mada was wondering why do women cheat; ninajua there is 101 reasons na inategemea na mtu na makuzi, jinsi anavyo value uaminifu/kiapo na hofu yake ya Mungu kufikia uamuzi wa kucheat hata akiwa kwenye mazingira niliyoyataja hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom