Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?
Hawa wanasukuma gari ya mbunge wa Chadema Mh Chiku Abwao
mkuu heshima mbele....
umeshasema kwa wanwake tu...
ulitaka niseme nini zaidi ya kucheka?
we huoni hao watu wanaosukuma hilo gari wanavunja mbavu pia???
funny
i believe huyo jairo atakuwa anawalamba baadhi ya wake za hao wanaosukuma gari lake...
na hii comment yako hii....ime confirmed what i believe.....
mkuu heshima mbele....
umeshasema kwa wanwake tu...
ulitaka niseme nini zaidi ya kucheka?
we huoni hao watu wanaosukuma hilo gari wanavunja mbavu pia???
Heshima mbele Mkuu. Yea, men pushing a car from the back. Kama vile wanasema Ari mpya, Nguvu Ppya na Kazi mpya only anayesukumwa kusimamishwa. Akirudi watamsukuma tena?
Nashindwa concetrate na swali... for akili yangu imehamia mengine kabisa...
for instance huyo jamaa wa tatu from the left... hajavaa soksi au macho yangu??

funny<br />
i believe huyo jairo atakuwa anawalamba baadhi ya wake za hao wanaosukuma gari lake...<br />
na hii comment yako hii....ime confirmed what i believe.....
<br />
<br />
Frankly speaking it is disgusting; mume wangu kumsukuma mwanamume mwenzake! Hukawii kufikiria kuwa anashikishwa ukuta! Lazima apate ban ya untumba ya at least 3 moons
Back to topic...
Sema tu ningechukia kua gari ni la Jairo for nina hasira na the guy..
ila genuinely speaking a guy ambae ana adjust tokana na mazingira
naona he is the best... Sio mwanaume mzima gari lipo bovu hapo
linatakiwa kusukumwa.. unaleta pose za kike... Gari inatakiwa kua
pushed him as a guy is supposed to be part of the team...