Kwa wanawake tu

Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

Shosty ofcourse mshtuko ni muhimu maana haukujiandaa kwa zoezi hilo halafu kupima inatakiwa kwa hiari yako. Japo inaonyesha anajali afya zenu ili mfurahie mchezo. Mpime wotee!!

Ila kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa afya yako na unapima mara kwa mara hutashangaa kivile..mimi naona kufanya mapenzi na mtu hujui status yake hata kwa rubber mbili kwa mpigo bado naona hatari...

Vp umeshukizwa nini ''tabasamu'' ?
 
mimi nilishawai kubebwa juu juu angaza sirias
 
Shem think... think! Hii habari unafikiri wangapi wanaijua ila hawaizingatii? Hivi number ya waathirika inazidi ama inapungua as time goes on?
Kwa Daslam, Iringa, Mbeya, Arusha, Tanga na Mtwara inaongezeka... (usiniulize source tafazali).... huko kwingine "naskia" inapungua. Nna mpango wa kuhama Daslam nikajilie maraha kavukavu mikoani huko.
 
Kusema Kweli ngono salama ipo really straining.. Use of rubber sababu ya malengo ya kuzuia HIV/AIDS ni muhimu saana but inaboa... Kama kweli Kid sis kuna Mwanaume anakua na hicho kipimo, naona it is for the best, mkisha pimana.... No LIMITATIONS.... Raha mwajipa wenyewe! Hivo nitapima Asap on the condition nae pia anapima...:nerd:
kweli sis mipira sio kabisa.ndo raha ya kupima.ndo maana wanawake hawatulii maana hawafaidi kila mahali mipira mipira chukua mmoja pimeni afya mle raha ya dunia khaaaa
 
Kwa Daslam, Iringa, Mbeya, Arusha, Tanga na Mtwara inaongezeka... (usiniulize source tafazali).... huko kwingine "naskia" inapungua. Nna mpango wa kuhama Daslam nikajilie maraha kavukavu mikoani huko.
anzia katavi,nasikia na pemba kule hakuna ngoma kabisa.kumbe wapemba sio kwa yale mambo eeeh?
 
Mfano ndo umeanza uhusiano na MWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya KUNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Naondoka zangu mwaya kwani nimeenda kwa ajili ya kupimana au...?
 
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

Huna haja ya kuwa na wasiwasi maana Blandina Nyoni hakuwa makini!
Oooooooooooops Kwa wanawake tu sorry! Nna kiherehere! Ntajajazwa mim*a hivihivi!
 
Kwa Daslam, Iringa, Mbeya, Arusha, Tanga na Mtwara inaongezeka... (usiniulize source tafazali).... huko kwingine "naskia" inapungua. Nna mpango wa kuhama Daslam nikajilie maraha kavukavu mikoani huko.

wewe unafikiri kwa nini mimi nimeng'ang'ania huko kwingine? lol.... Hio source ya habari yako ndio hasa imenishawishi....
 
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

Usithubutu kukutwa
 
Back
Top Bottom