Kwa wanawake tu; uvaaji huu huwa ni fasheni au?

Hizi fashion nyingine Inashangaza sana kwa kweli na jinsi watu wasivyotaka kupitwa, huwa nawahurumia kushikilia nguo, mara gagulo liburuze na huku kabeba bonge la pochi, yaani mzigo juu ya mzigo!
Hahahaa!!
 
Nyuzi hizi bila picha si lolote si chochote wengine humu tumetokea koromije hata hatujui dera ni nini
 
Hahahaha niseme mazoea tu binafs mimi ni mhanga wa hili
Nimeshazoea kushikilia nguo na nikivaa tight ndefu ndani hua sishiki lakini nikivaa underskirt ndefu bas dira litashikwa tu
Saa zingine unakuta dera lina upana mdogo lina hatua flani hivi bas hua nikishika napata balance ya kutembea hii iko sana pwani hasa kwenye maharusi lazima ukute hii hulka tu
Oooh kumbe mnatafuta hatua!! Hapo nimekuelewa, nikajua joto so angalau hewa ipite kidogo.
 
Underskirt sijui skintight ya kuvutia ikipita dela huwa inanyegesha sana. Wabarikiwe wote wavaavyo hivyo.
 
Utajuaje kama kavaa nguo...nguo nyingine ndani, mie naona kama uhuni tu, kuonyesha nguo ya ndani mkuu...
 
Hapa utetezi tyu lain lengo Lao ni moja tyu.... Umalaya tyu unawasumbua Hakuna cha fashion wala nn ukitaka kufata akii zao hawa viumbe unawez uka fake maisha.... Leo watakwambia six pack kesho mashine sijui dera bila chup yaaan vichwa vimejaaa ushenziiiiiiiiii mtupu na ktk watu wanao yumba hawa namba moja ila pia wanaumuhimu xana..
 
Kuna vile viskin tight vya rangi rangi... Nikamuuliza huyu Dada.. Hivi akisha vaa vile huwa hajihisi kama yupo uchi?! Atembeapo barabarani?!...

Sawa na midume inayovaa yoga pants halafu inatoka nyumbani mpk ufukweni kufanya mazoezi.. Nyie!!! Ni htr..hata aibu haina
 
Hahahaha niseme mazoea tu binafs mimi ni mhanga wa hili
Nimeshazoea kushikilia nguo na nikivaa tight ndefu ndani hua sishiki lakini nikivaa underskirt ndefu bas dira litashikwa tu
Saa zingine unakuta dera lina upana mdogo lina hatua flani hivi bas hua nikishika napata balance ya kutembea hii iko sana pwani hasa kwenye maharusi lazima ukute hii hulka tu

so ile kunyanyua dera we burudaniii nahuku nguo ya ndani inaonekana!aisee !nimeelewa!

bdw kwanini msizipunguze ufipi hizo underskirt jaman ! maana yanaburuza sikitoto !inafika jion una vumbi la kutosha
 
Back
Top Bottom