Inakuwaje mwanamke anadhubutu kumvulia nguo mwanaume mwingine tofauti na yule ambaye yupo naye. Hii inatuumiza sana sisi romantic gentleman's because tukipenda ni bhasi and forever.
My girl/wife to'be nampenda sana lakini amenikwaza na nimeumia sana as a men. Kuna jamaa kutumia namba mpya amenirushia picha
Za utupu za wife to'be wangu niliyempenda na kumweshimu sana.
Mapenzi ni kitu hatari Sana pale inapokuja swala la kuumizwa. My girl hakuwahi hata kuvaa suruali wala nguo za ajabu usually anashono vitenge na hakuwahi kuvaa nguo fupi.
Nawaomba mnipe ushauri nini nifanye,
I never cry but now I do.
Way girls naomba mnipe na sababu way mnafanya hivyo kwa men wanaowapenda.
Pole sana ndugu yangu maana hayo ndio maisha na ukishapata matatizo ujue ndio ukubwa wenyewe huo so no need to cry.Coz tulipo sasa ni mtu mwenyewe tu aamue tu kutulia so dont cry man.
Pia huyo alompiga picha na kukutumia ni dhahili anaamini huyo demu wako anakupenda pengine kashindwa kumshawishi aachane na ww kaona ni bora afanye visa umwachie mzigo kiulaini wala demu wako hajamtuma akutumie hizo 4to pengine hajamwambia anapiga hizo 4to kwa lengo hilo.
dah! maisha yenyewe yalivyo mafupi haya bado unaweka vitu kama hivyo kichwani, jifunze u-playboy, mwanamke ni sawa na mbavu ktk mwili wako anawezaje kuiendesha akili yako hivyo
Pole sana Joas, hebu jipe mda wa kufanya tafakari na usiwe na papara katika maamuzi, badae mshauri huyo your wife to be akipime afya, majibu yakitoka fanya maamuzi