Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,383
Mimi nlishawatapanya mademu wengi walonitamani tu kwa mavituz....ila hatujawahi kuwa wapenzi!
ngoja waje wenyewe hapa watakuzodoa kwa kwa kwa
usiniambie kitu cha semina mka sharen0 ideas na usiku mka share kitanda
hahahahahah unapenda umbea utasutwa!!! mbona kawaia hiyo sema mshori wa kibongo wanaogopa kufunguka tu....
mjini hapa vibamia havina nafasi kwakweli unless wewe ni mnene maana nimepewa theory kuwa wanene wanapenda vibamia
the guy was hot meen...yani ma6 pack, na maexternal features ya ukwee, afu kichwani pia alikuwa nondo kwenye presentation in short alinizidi upeo...nikasema dah haiwezekani huu utukufu nisiushuhudie basi taratataaah...kitu na box
we mtoto mi ushanishinda yailahi na siku zinavozidi kwenda ndo unazidi kuwa mwehu!
ahahahahhahhahah yani nimechekaje kwa sauti eti ....................basi taratataaaah......kitu na box!
ngoja waje wenyewe hapa watakuzodoa kwa kwa kwa