kwa wanawake je umeshawahi mtamani mwanaume kimapenzi kumtamani tu na sio kumpenda

kawaida tu hii, inatokea tu binti anamtamani man na kutamani awe naye kwa 6*6. Mara nyingine unamtamani mcheza cinema wa Hollywood lol!

Kutamani ndio hutangulia then mengine yanafuata! We unafikiri girls wanaanzaje kuchagua Handsome, mrefu, ana misuli, mwembamba, mnene, kitu mkono wa mtoto mdg, etc? Tunatamani pia! Ukibahatika kutokea binti ambaye amesakutamani tayari ni raha iliyoje!

Tena mi sasa kuna member wa MMU namtamani, acha tu!
 
Nakagua page moja baada ya nyingine,kuna mtu namkagua hapa
"
Nikimkuta home patachimbika,na atanieleza huyo aliemtamani ni nani!
 
Wanawake huvutiwa na si kutamani,tena wala wazo la 6x6 kwa wakati huo huwa halipo,anayekuvutia utapenda kuwa naye karibu,kushare ideas,kumpa zawadi,kuhuzunika naye wakati wa huzuni,usipomuona unakosa raha, n.k.

Na mara nyingi utajikuta unapenda awe japo rafiki wa kawaida tu,ili umsome vizuri.Ikitokea akawa karibu nawe katika hayo ndio hapo hisia za mapenzi huanza kujijenga taratibu,hapo sasa itatafutwa a way foward!

Lakini kutamani tu?.....yaani jamaa aje kupita njia?......so strange to me.Yaani mwanadada atamani kugeuzwa LAB????
Mimi siamini kama kuna binti anapenda kuchezewa,hainiingii akilini hata kidogo.
 
Hiyo ipo sana wala si mara moja,kuna kamoja aliniambia ananitamani na nikamkuja
 
Wewe kweli bado! Endelea kula shule MMU ukikua utajua. Unaujua mpendapenda wewe?

KHA!! kumbe nanyi mnatamanigi aibu!!! sasa ebu niambie wangu mkitamanigi na nyie do u go out of ur way mpaka kulichezea dushelele? na pia mnamuona hana dhamani baada ya kulikatikia dushelele?
 
kawaida tu hii, inatokea tu binti anamtamani man na kutamani awe naye kwa 6*6. Mara nyingine unamtamani mcheza cinema wa Hollywood lol!

Kutamani ndio hutangulia then mengine yanafuata! We unafikiri girls wanaanzaje kuchagua Handsome, mrefu, ana misuli, mwembamba, mnene, kitu mkono wa mtoto mdg, etc? Tunatamani pia! Ukibahatika kutokea binti ambaye amesakutamani tayari ni raha iliyoje!

Tena mi sasa kuna member wa MMU namtamani, acha tu!

kumbe mnatamani wa hollywood...wa tzwood mwawaona hawana mvuto hahahaha. kweli full kushushana hadhi. ngoja niwakamatie nyie full kuwa gegeda na kuwabwaga ndio ushuke hadhi na hiyo K yenu
 
kawaida tu hii, inatokea tu binti anamtamani man na kutamani awe naye kwa 6*6. Mara nyingine unamtamani mcheza cinema wa Hollywood lol!

Kutamani ndio hutangulia then mengine yanafuata! We unafikiri girls wanaanzaje kuchagua Handsome, mrefu, ana misuli, mwembamba, mnene, kitu mkono wa mtoto mdg, etc? Tunatamani pia! Ukibahatika kutokea binti ambaye amesakutamani tayari ni raha iliyoje!

Tena mi sasa kuna member wa MMU namtamani, acha tu!

sasa mbona huniambii muda wote huo, usiogope!
 
mimi niko addicted na wanaume wanene,yaan nikiona tu mwanaume wa aina hiyo huwa naishiwa pozi kbs
 
jama haya mambo yapo saana tu, ngoja nikuambie kupenda tunapendana wengi tu, we sema malengo ya kuoana hayapo hivo kuna time watu lazima turushe mikono juu tuweke shida chini, mie kuna manzi moja nilikua nae hatukua na lengo la kuoana ila tukitaka tunapeana, ilianza na ikaisha ivo baada ya kuolewa na mwenye malengo nae, kwa ufupi wanawake kuna baadhi yao akikupenda atakubania lakini kuna mtu anampaga anamvua fanya mchezo na wanafemale wewe
 
mi nilitamani kwa macho na nikala kwa macho sikuvua pichu,we karne hii siyo ya kuvua pichu ovyo patakua bwawa bure wengine wana machine za kuulia jambazi si mchezo yanini kutoka jasho wakati kuna full Air Condition.
jamani nivulieni na mimi mbona nipo bomba sana
 
mi nilitamani kwa macho na nikala kwa macho sikuvua pichu,we karne hii siyo ya kuvua pichu ovyo patakua bwawa bure wengine wana machine za kuulia jambazi si mchezo yanini kutoka jasho wakati kuna full Air Condition.

khaaaa! nimecheka sana
 
Hiyo ipo kwa wanawake pia, lakini sio sana hasa akiwa mwanaume is hot from outside and simply anaonekana mtundu
 
Back
Top Bottom