Kwa wanaume: Zijue mbinu mpya za wanawake wa siku hizi wanaosaka ndoa kwa nguvu

Mkuu naisikia sana hii, hebu weka bayana hii teknolojia ikoje tafadhali.
Simple tu...

Chumvi ya mawe inanuiziwa....inachomwa...nyingine kidogo itatiwa kwenye msosi au maji ya kunywa au ya kuoga

Kuna itakayomwagiwa iwe mlabgoni au nguo zako

Kitu na boksi!!!!!

Chumvi haijawahi kumuacha mtu salama
 
Mmmmh, Mtakuja kutuwekea sumu Mkuu!
 
Simple tu...

Chumvi ya mawe inanuiziwa....inachomwa...nyingine kidogo itatiwa kwenye msosi au maji ya kunywa au ya kuoga

Kuna itakayomwagiwa iwe mlabgoni au nguo zako

Kitu na boksi!!!!!

Chumvi haijawahi kumuacha mtu salama
Sasa kunauhusiano gani kati ya chumvi na kuwowa
 
Mbona huyo ana ustaarabu?? Kule Ngara ukimvua pichu tu. Asubuhi piga ua hatoki. anachosema tu ni; Oyaa, wanononyaaa. Nakuambia hatoki hata kwa polisi.
 
Back
Top Bottom