Kwa Wanaume Wote JF

Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Wewe unafanya Kazi ofisi Fulani iko karibu na baharini hapo Dar, sasa kamwambie bosi wako Kipilimba hatutegeki kijingajinga hivi. Hizo pumba kategee njiwa wenzio.
.
 
Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Mbn suala gumu sana ilo, hata kama ni danganya toto sio namna iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…