ellymn
Member
- Nov 17, 2018
- 28
- 22
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro wewe ni kama mimi ulivyovitaja hapo na kwangu vya muhimu sanaKwangu mimi binafsi ni kitanda na sabufa ivi ni muhimu kwa upande wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitanda, Music System, Tv connected with dstv and ACHabari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Chumba cha mwanaume kikikosa Panga, manati,nondo, shoka bila kusahau kondomu na vya mfano wake baasi hicho chumba anatakiwa aishi mwajumaHabari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Chumba cha mwanaume kikikosa Panga, manati,nondo, shoka bila kusahau kondomu na vya mfano wake baasi hicho chumba anatakiwa aishi mwajuma
Kitanda,Feni, kiti kimoja(Tena Cha plastik) na meza moja.Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
sigara ni hatari kwa afya yakoGodoro,shuka na fegi za kutoshaaa!
Mbona zinaendelea kuuzwa,kwa hiyo wanatudedisha kimya kimya?sigara ni hatari kwa afya yako
piga ganja achana na sigaraMbona zinaendelea kuuzwa,kwa hiyo wanatudedisha kimya kimya?