Kwa wanaume wenzangu walio kwenye ndoa

Kwa wanaume wenzangu walio kwenye ndoa

Namkumbuka padri aliyenifungisha ndoa...alisema ndoa ni jambo la kheri na limepangwa kwa watu wawili tuu yaani mke na mume hata mtoto hausiki ktk ndoa. Mtu wa tatu akishaingia hakuna ndoa tena. Vivyo hivyo hata mnapoyofautiana nyny wawili tuu wa kusuluhisha tofauti zenu na si mtu wa tatu hyo ndo siri kubwa ya ndoa.
 
Haya mavikao yamekuwa sababu ya kuwindana ndani ya ndoa... Mnategeana tu, nani atakosea?? Ukikosea tuuuu... Yameenda home.
 
yataka moyo kuitisha kikao kwani kila mmoja anatetea nafsi yake na heshima yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom