HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,211
Hiv vikao hiv! Sio vizur!Hahahhhhh
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!
Lakni vikao nooooo thank you!
Hiv vikao hiv! Sio vizur!Hahahhhhh
Kweli kabisa na mkishafikia hatua iyo jua ndoa ishafika mwisho mm ndo mana nikigombana na mume wangu ata nikiondoka nyumban nawaambia ndg mniache ntayamaliza mm namuhusikaHiv vikao hiv! Sio vizur!
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!
Lakni vikao nooooo thank you!
Acha kabisa my dear!Kweli kabisa na mkishafikia hatua iyo jua ndoa ishafika mwisho mm ndo mana nikigombana na mume wangu ata nikiondoka nyumban nawaambia ndg mniache ntayamaliza mm namuhusika
HahaahhhAcha kabisa my dear!
Mi nakwambia hata kwa ndugu sisemi achia kuondoka maana nikiondoka atawaambia, watataka kujua kwanini nimeondoka! Ndo kitu sikitaki wajue kinachoendelea
Naishiaga kulia na kununa tuuuu!
Labda akiona nimelia kupitiliza akajiseme mwenyewe na hajawahi! Sana utabembelezwa wewe hadi raha ila huku umeumia hahahahahahaaaaaa
(Sweetie ukipitia pande hizi ujue nakupenda sana my G) tutafika
Sio bana usiogope ingiaKumbe ndoa ngumu,,
Hahaha aya mamySio bana usiogope ingia
Sana my dia,haina haja ya kuwahi kama mtu hun mpangoKumbe ndoa ngumu,,
Haya nyie malizaneniNdio si anataka niludishe avatar iliyopita
Mie mnuno ndo ulinishindaga jamani, nkinuna hata lisaa haliishiHiv vikao hiv! Sio vizur!
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!
Lakni vikao nooooo thank you!
Hahahaaaa! Na yenyewe ni kazi infact ni kipaji!Mie mnuno ndo ulinishindaga jamani, nkinuna hata lisaa haliishi
Nimebaki natoa macho baada ya kusoma iki kiji sehemu....Hahahahahahaaaaaa! Mkuu umenikumbusha mbali sana
Hivi hivi vikao vya usuluhishi!
Familia moja tukawasuluhisha sanaaaaa lakni mwanaume kakazana na wazazi wawepo kwenye usuluhishi!
Mwanamke akamsihi sana kwa kupiga na magoti, mwanaume akasema nitakusamehe endapo utaomba msamaha mbele ya wazazi tena wapande zote mbili, basi binti akasema hamna shida waite.
Wazazi wakaitwa, washenga, akaenda mbali zaid kawaita hadi wachungaji (utadhani kamfuma mkewe na mwanaume kitandan)
Mwanaume akajieleza weeeeeeeee! Na mambo ambayo ni ya kawaida tu sio ya vikao akayaweka hapo (ki ukweli kama mzazi hasa mama aliona ni kama yeye ndo anavuliwa nguo, alilia sana yule mama wa binti)
Basi mpira ukarudi kwa binti, (naona ndani ya akili yake alisema liwalo na liwe ) binti wa watu akaanza kwa busara kabisa, akamwomba msamaha mmewe, kwa magoti akamfuata mchungaji kampigia magoti,
Vivo hivo kwa wazazi wote, tena huku analia sana hasa alimpomfika mamake ( ilikuwa kama msiba)
Akasema kabla hamjaondoka naombamtusaidie mambo kadhaa,
Binti alitiririka,
Kuanzia mambo ya jikoni, sebleni hadi chumbani!
Akasema hapa mnapo niona mme wangu ili anitimizie haja zangu chumbani natakiwa nimuingizie kidole mku****i ndo mzee anastuka na akinipanda hata jogoo anatumia mda mwingi kwa tetea wake hata sielewegi hizi mimba sijui ni mtakatifu kama bikira maria, maana sijawahi kuusikia uanaume wake! Ila nipo hapa maana najua nilifanyika mwanamke kwaajili yake ili nichukuliane naye!
Na mengine lundooooo! kiufupi binti alivoona mwanaume kamwaga mboga, yeye aliamua kumwaga ugali, mahindi yaliyokuwepo ndani akayatia sumu msisage, ya shambani kaenda kuyafyeka na shamba kauza! Hahahahahahaaaaaa
Kibao kikamgeukia mwanaume, wazazi wa binti maskin hawakuongea chochote mtoto wao alivyomaliza kuongea wakaomba kuaga, wakambelelezwa lakin wakaondoka! Ngoma ilibaki uku nyuma,
Lakn tunamshukuru Mungu wanaishi ila mwanaume hana raha kabisaaaa hasa wanapokuwepo ndugu wa mwanamke!
Jaman kunapokuwa na misunderstanding hebu kaeni malizeni wenyewe achaneni na vikao vikao!
Ukiuliza kosa!
MWANAUME ALIKUTA SMS ZA STAFF MWENZIE NA BI DADA ZA MITONGOZO, (hapo ni mtongozo sio wamekubaliana) MWANAMKE AKASEMA NI KWELI HUYO STAFF ANAFANYA HIVO LAKIN YEYE ALISHAMKATALIA,
SASA MUME KAKOMAA KAMA NDO IVO ACHA KAZI, BINTI AKASEMA NAACHAJE KAZI KWAAJILI YA MPUUZI AMBAYE MIMI SIKO INTERESTED NAYE, KIKUBWA NI MSIMAMO WANGU KWANI HUKO NYUMBANI AU KWENYE BIASHARA NDO SITATONGOZWAA (mume kakomaa vikao) hayaaaa shauri yenu
(Mnisamehe nimewachosha) mweeeee
Kama namuona jamaa alivotoa mimacho...hahahahaaaaaHahahahahahaaaaaa! Mkuu umenikumbusha mbali sana

Ndo hivo mkuu!Nimebaki natoa macho baada ya kusoma iki kiji sehemu....
Utanuna sana ila sio suluhishoHiv vikao hiv! Sio vizur!
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!
Lakni vikao nooooo thank you!
Kumbe ndo unapenda kubembelezwa hvyo mke wangu nlikua sijui Nakupenda sana bby wanguAcha kabisa my dear!