Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

Heshimu jinsia zote,mke na ndugu pia. Marafiki si nyumbani wengine watakutongozea mkeo na kwakua unamdharau hata kwambia. Mimi nawaheshimu wanawake kwakuwa namthamini sana mama yangu, na kila mara napokuwa na hasira nao nikimkumbuka mama natanguliza heshima mbele na hivyo ndivyo heshima inatupeleka mbele.
 
mie nimempenda mtoa mada,i will do a lot of mischief na najua nitasemehewa......:target:kuwa mpole ila sio sana,kuwa firm kidogo,kwa kifupi sijui uweje lol:doh:
 
wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili usikubali mwanamke akatawala akili yako au akugombanishe na wazazi wako, ndugu yako au rafiki, wanawake wengi hawawazi juu ya maisha ya mbeleni wanawaza kuvaa na kula tuwachunge tuishi nao kwa akili.

pamoja na mama yako?
 
haha as long as mnaendekeza k wanawake watakuwa smarter than u men
 
mijanaume mingine ndio maana inaekewa libwata ...
 
Back
Top Bottom