Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili usikubali mwanamke akatawala akili yako au akugombanishe na wazazi wako, ndugu yako au rafiki, wanawake wengi hawawazi juu ya maisha ya mbeleni wanawaza kuvaa na kula tuwachunge tuishi nao kwa akili.
 
Wanawake Wa Leo sio dhaifu ndo maana ukizubaa kidogo anakupanda mpaka kichwani!
 
wee ukiendekeza k tuu ujue mwanamke kakukamata....mie wala sibishi wanawake wameyeka akili yangu.
 
Mh h nouma ndo 7bu akamshawsh Adam ale 2nda nae boy akamega kiulain hakuwaza wala kukataa.aldanganyka na saut cjui!
 
Mwanamke ni mjanja kishenzi, tena hawa wa dotcom ndiyo balaa ile mbaya kwani hawanaga mapenzi ya dhati wao kazi kuharibu tu mahusiano ya watu kwa njia yeyote ile ili mradi katimiza lengo lake. Jana kuna jamaaa aliuliza ni kwanini wanawake hawapendani? Nilimjibu ni kwa sababu ya insecurities ndizo zinazowafanya kuwa hivi. Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenzie always. Maana mwanamke akiona mwenzake yuko na furaha na jamaa yake basi atajitahidi mpaka yule jamaa aingie line yake kisha ampindue mwenzake. Na akishampata atamlisha madawa ya kumfanya amsahau yule bibie amjali yeye tu. Then kivumbi kinakuja huko mitaani sasa. Atavaa kanga za mafumbo na kujipitisha kwa yule demu huku akimwimbia taarab za Mze Yusuf wakati siku zote alikuwa haimbi, ili tu amuumize mwenzake zaidi. Wanawake hawa? Basi tu tunaishi nao kwa sababu wengine sie hatupendi was.enge tunafuata sheria tuliyopewa na Mungu, mtu na mwanamke si vinginevyo.
 
Mbona umetushusha hivyo!??????
siyo vizuri ujue
 
Wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili usikubali mwanamke akatawala akili yako au akugombanishe na wazazi wako, ndugu yako au rafiki, wanawake wengi hawawazi juu ya maisha ya mbeleni wanawaza kuvaa na kula tuwachunge tuishi nao kwa akili.

labda uyo mwanamke wako ndo yuko ivo..
 
labda uyo mwanamke wako ndo yuko ivo..

yeah demu wako ndo yuko ivyo...si wanawake wote..for me naongoza kwa kusave kuliko ata mme wangu nawaza future na familia yangu..nu plan tu ya maisha
 
umeona eeh! mnavyodanganyika kirahisi ila mwanamke amejaliwa high convicng power
 
Unamaana mke wangu akigombana na mdogo wangu wa kiume na makosa wazi ni ya mdogo wangu kwa hiyo nimuunge mkono mdogo wangu kwa kuwa tu ni ndugu yangu na ni mpuuze mke wangu kwa kuwa tu ni mwanamke?

Nitamuunga mko mke wangu siku zote, ukiendekeza mambo ya undugu katika maisha ya ndoa hutafika popote, mkeo atatukanwa na ndugu zako nawewe utakaa kimya eti ili usiharibu undugu wako. Pumbavu
 
Wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili usikubali mwanamke akatawala akili yako au akugombanishe na wazazi wako, ndugu yako au rafiki, wanawake wengi hawawazi juu ya maisha ya mbeleni wanawaza kuvaa na kula tuwachunge tuishi nao kwa akili.[/QUOTE

Ndugu, hayo ni yako, to my wife is my first priority. Lakini nisikulaumu sijui educational level ya hao wanawake unaozungumzia?. Educated women ni watamu ajabu!. Jaribu uone. Vipi we unaolea ukoo au ni kwa manufaa yako. Umewadharilisha mama zetu. Kama vipi oa dada zako ndiyo wanakufaa. Unaakili za kukutosha pekeyako.
"Woman are wiser than men, because, they know less and understand more"-James Stephens.
 
Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake bali mwanamke mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe
 
Kwa hakika mwanamke tangu alipolaaniwa na mungu kwa kumwambia"kwa uchungu utazaa na mwanaume atakutawala" amekuwa kwenye mapambano dhidi ya mwanaume siku zote. Mwanamke ana tamaa ya kumtawala mwanaume. Ndiyo maana 80% ya wanawake wote(wa kitanzania) huenda kwa sangoma
 
Back
Top Bottom