Kuna tetesi kwamba ukimtahiri mtoto akiwa mdogo viungo vyake vya uzazi havikui sana ukilinganisha na waliotahiriwa wakiwa above ten. Hekima izingatiwe plzzzz
Najua wapo waliotahoriwa wakiwa wadogo naomba wanisaidie maana Nina vidume vyangu vinaniweka njia panda
Mmhhh loading error..........
Unataka mwanao aweje?
again??????????
awe anakimbiza wachumba chupi mkononi lol
Hujambo mpenzi?
sijambo hofu kwako
Kuna tetesi kwamba ukimtahiri mtoto akiwa mdogo viungo vyake vya uzazi havikui sana ukilinganisha na waliotahiriwa wakiwa above ten. Hekima izingatiwe plzzzz
Najua wapo waliotahoriwa wakiwa wadogo naomba wanisaidie maana Nina vidume vyangu vinaniweka njia panda
Mzima sana, mbona sijakuona taifa?
hahahahaha shughuli kama zile sijisumbuagi kwenda lol
sio kweli wapo waliotahiriwa wakiwa watoto lakin wana mguu wa mtoto na wapo waliotahiriwa wakiwa watu wazma above15 lakn wanavibamia... Hebu muwahishe mtoto asije pata shida bure
Ni kweli kabisa dada hips.co.tz.Nakushauri mtahiri akiwa na miaka 13 kama mimi nilivyotahiriwa,kwakweli nina kifurushi cha maana,juzijuzi tu mama flani kanipa laki 5 kwa kumfungulia njia vizuri.
Nimezoom sana nakutafuta mtu kama wewe....wapiiiii
Nimezoom sana nakutafuta mtu kama wewe....wapiiiii