Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

Hayo mashauri, hawayapati kanisani, misikitini? Matangazo kwenye TV yamejaa tele. si wa humu wala wa huko maofisini, there is little we can do. SAAANA, tufanye maombi na TUFUNGE kwa ajili yao; kama kweli tunataka kuwasaidia. Tofauti ya hapo tunapiga soga tu na kujivika utakatifu na UHAKIMU wakati wengine tutakuwa FUEL kule mootoni.

Ngoja niwahi way of cross nikaongeze utakatifu kama upo wa duniani.
 
Ndoa ya wapi? Msikitini? Kanisani? Asili? Bomani?
...wote hao ni mawakili anaye simamia sheria ni mmoja tu serikali, ndo maana yeyote anayefungisha ndoa,awe shehe,padri,mchungaji n.k anasema "kwa mamlaka niliyopewa na serikali ya jamhuri nawatamka kuwa mume na mke so so so" na sheria mama ni moja tu hizo nyingine ni flexibilities tu kupunguza migongano ya kisheria ingawa zinatambulika..
 
Kama wewe uko ki manyo wenzio tuki ki automatik kabisa

Kuitana switie kuna tabu gani?? Kunaambukiza Ukimwi???

Standard zako usituletee sie, huoni tunaongeza siku za kuishi kwa kubembelezana??
Mbona hilo la kupakatana na kushikana makalio hujibu?
 
Hata nami nisign out in a minute;
tukaifuate njia ya msalaba, tuifate mpaka calvario
tusimamepo bila haya, msaalaba, msaalaba waponya roho.

Haya my sister Kaunga ngoja tuiwahi by 17.00 pm Umeniacha na tabasamu flani hivi
 
haya ni mambo yaliyopo sana, yanakera na ni ya kulaaniwa kabisa. wanandoa wengi wanapoteza heshima ya ndoa zao kutokana na ujinga na kukosa maarifa
 
Kwa hiyo watu wasioe ili wsiwe hovyo??

Maambukizi ya virusi vya UKIMWI yako juu sana kwa walioko kwenye ndoa...Tafakari.Halafu ukisoma nilichoandika hakuna sehemu niliyosema kuwa watu wasioe au kuolewa,ila nimetoa uzoefu wangu kinachofanyika maofisini wakiwemo hao walioko kwenye ndoa.
 
Uzoefu wako si lazima uwe wangu

Wote waliokufa na Ukimwi waliutoa ofisini mwao???
Hao wanaoumia wanaingia kwenye michezo kwa kuiga, wawaache mabingwa wa kuflirt na kuliwa ofisini waendelee, maana wanajua mbinu zote.
Unadhani wote tuwe na tabia moja?? Wote tuwe watakatifu?? Inawezekana??

Kaulize Radio Tanzania kilichowapata miaka ya kuanzaia 1990's mpaka 2000 ndo utajua kama wote walikuwa na tabia moja ama hawakuwa na tabia moja.Almost wote walipukutika, chezea UKIMWI wewe na maofisi.Tumewazika almost magwiji wote wa radio Tanzania lakini unaambiwa wamekufa kwa magonjwa mengine wakati walipeana ngoma wao kwa wao tena hasa kwenye shifti za usiku.Muulizie mtu yeyote wa TBC ama Radio Tanzania wanajua kilichowakumba wenzao miaka hiyo
 
Afadhali hapo red, umejisemea wewe

Kwa wengine, akae na mwanamme mmoja kawa baba yake?? mwanamme mmoja tu ni baba, hawa wengine can be any number.

Huyu ni aina ya wazazi wa miaka hii (kizazi kipya), sijui atawafundisha nini watoto wake!
HAKUNA MZAZI HAPA.
 
Jamani mimi sijui kama ni ushamba wangu ama ni ugeni wa mambo lakini kwa vyovyote vile naomba nitakapokosea nikosolewe na nitakapoteleza nisahihishwe bila jaziba na matusi. Leo naongelea wanawake na wanaume waliopo makazini kwenye ofisi mbalimbali za serikali na za private. Mimi kwanza nitoe angalizo nimekuwa nikifanya kazi sehemu ambazo wanawake ni wa kuhesabiwa sana kutokana na kada yangu.Kwa hiyo wanawake kwa kuwa ni wachache na pia sehemu yenyewe ipo busy ni salamu tu basi na jioni ni kwaheri tutaonana kesho.

Sasa kuna sehemu mpya nimeajiriwa nina miezi mitatu kamili, lakini yanayotendeka kwenye ofisi hii yananitia kinyaa ile mbaya. Yaani utakuta mtu ni mume wa mtu kabisa mnapanda gari amempakata mke wa mtu na huyo mke wa mtu ametulia kimya kwenye mapaja ya bwana huyo na sio kusema eti siti zimeisha wapi siti kwenye gari la staff ni za kutosha. Sasa yanayofanyika kwenye maofisi ndo utachoka kabisa utakutana na mama tena mwenye heshima zake anapapaswa na kushikwa ma--ko na baba mwenye tena pete ya ndoa eti wanakoroga chai kwenye chumba cha tea room yaani nashangaa sana. Wengine hata wanadiriki kuitana sweetie wakati hawawezi kuwaita wake zao wala waume zao sweetie.

Halafu na wasichana ambao hawajaolewa mtulie kwenye maofisi sio kujirahisisha tu, hivi unajua kuwa muoaji serious atataka kupata feedback kutoka kwenye ofisi yenu how you behave sasa kama ni wa kushikwashikwa kila mara na kujichekesha chekesha labda akutane na mwingine ndo ataremba akikutana na mimi namwambia ukweli kuwa hapa hakuna kitu ni jamvi la wageni. Maana wewe ushaona mtu ana pete ya ndoa umo tu unategemea nini kama si kuliwa na kuachwa hapo. Na nyie wavulana acheni kuharibu ndoa za watu eti kwa kujifanya damu inachemka

Hata kama ni kuzoeana lakini sio hivyo nduguzanguni lazima tuheshimu ndoa zetu na tuwe na mipaka maana socialization nayo ikizidi itakuwa shida sasa. Mi nawaza na kuwazua hivi hawa wanaoshikanashikana na wengine kukaliana kwenye magari siku wakiambiwa kuwa waende semina nje ya Dar si watafanya kweli. Tuheshimu ndoa zetu na tuwe na mipaka kwa kila jambo maana ibilisi yupo kazini

Aisee, this is very serious. Naona umeamua kuwatolea uvivu. Ndio dunia hiyo. Pole kwa yanayokukwaza hapo kwenye ofisi yako mpya.

 
i see 2 sides here;
  1. wale wanaoweza ku-flirt w/o 'going all the way' wanachukulia as harmless. hata 'wakianguka' wanachukua tahadhari.
  2. wapo ambao walipewa hug tuu wanahamasika.
mimi naona yote ni maumbile + tabia za mtu. every1 involved ni consenting adult and as long as kazi haziaribiki then hamna haja ya kulalamika na kuwaona 'wameharibika' kimaadili. If hauko comfortable then dont copy. hao wanapukutika kwa ukimwi walisahau msemo wa ukiiga tembo ku--a utachanika msamba
 
haya mambo ndio yanayofanya watu wapende kazi na kuongeza uzalishaji kwa taifa hili,keep working guys?lakini hofu yangu HIV haitaisha untill messiya amerudi!
 
Kaulize Radio Tanzania kilichowapata miaka ya kuanzaia 1990's mpaka 2000 ndo utajua kama wote walikuwa na tabia moja ama hawakuwa na tabia moja.Almost wote walipukutika, chezea UKIMWI wewe na maofisi.Tumewazika almost magwiji wote wa radio Tanzania lakini unaambiwa wamekufa kwa magonjwa mengine wakati walipeana ngoma wao kwa wao tena hasa kwenye shifti za usiku.Muulizie mtu yeyote wa TBC ama Radio Tanzania wanajua kilichowakumba wenzao miaka hiyo

Mkuu umenena
 
Jamani mimi sijui kama ni ushamba wangu ama ni ugeni wa mambo lakini kwa vyovyote vile naomba nitakapokosea nikosolewe na nitakapoteleza nisahihishwe bila jaziba na matusi. Leo naongelea wanawake na wanaume waliopo makazini kwenye ofisi mbalimbali za serikali na za private. Mimi kwanza nitoe angalizo nimekuwa nikifanya kazi sehemu ambazo wanawake ni wa kuhesabiwa sana kutokana na kada yangu.Kwa hiyo wanawake kwa kuwa ni wachache na pia sehemu yenyewe ipo busy ni salamu tu basi na jioni ni kwaheri tutaonana kesho.

Sasa kuna sehemu mpya nimeajiriwa nina miezi mitatu kamili, lakini yanayotendeka kwenye ofisi hii yananitia kinyaa ile mbaya. Yaani utakuta mtu ni mume wa mtu kabisa mnapanda gari amempakata mke wa mtu na huyo mke wa mtu ametulia kimya kwenye mapaja ya bwana huyo na sio kusema eti siti zimeisha wapi siti kwenye gari la staff ni za kutosha. Sasa yanayofanyika kwenye maofisi ndo utachoka kabisa utakutana na mama tena mwenye heshima zake anapapaswa na kushikwa ma--ko na baba mwenye tena pete ya ndoa eti wanakoroga chai kwenye chumba cha tea room yaani nashangaa sana. Wengine hata wanadiriki kuitana sweetie wakati hawawezi kuwaita wake zao wala waume zao sweetie.

Halafu na wasichana ambao hawajaolewa mtulie kwenye maofisi sio kujirahisisha tu, hivi unajua kuwa muoaji serious atataka kupata feedback kutoka kwenye ofisi yenu how you behave sasa kama ni wa kushikwashikwa kila mara na kujichekesha chekesha labda akutane na mwingine ndo ataremba akikutana na mimi namwambia ukweli kuwa hapa hakuna kitu ni jamvi la wageni. Maana wewe ushaona mtu ana pete ya ndoa umo tu unategemea nini kama si kuliwa na kuachwa hapo. Na nyie wavulana acheni kuharibu ndoa za watu eti kwa kujifanya damu inachemka

Hata kama ni kuzoeana lakini sio hivyo nduguzanguni lazima tuheshimu ndoa zetu na tuwe na mipaka maana socialization nayo ikizidi itakuwa shida sasa. Mi nawaza na kuwazua hivi hawa wanaoshikanashikana na wengine kukaliana kwenye magari siku wakiambiwa kuwa waende semina nje ya Dar si watafanya kweli. Tuheshimu ndoa zetu na tuwe na mipaka kwa kila jambo maana ibilisi yupo kazini

Huku maofisini ndivyo kulivyo, umepatia kabisa kuonyesha 'picha' ilivyo.
Ila kwa jinsi jamaa wengi walivyojibu kwa 'kutetea' mambo yanayofanyika huku maofisini, basi naona mambo hayo hayataisha leo wala kesho.

Jamaa wametetea sana mabo hayo, na kuona kama vile mtu anayeyakemea mabo hayo kuwa yeye ndio 'muovu'.
Yaani, ukikemea maovu, wewe ndio unaonekana kuwa 'muovu', upo hapo ????

Hapo kwenye blue text,
Kwa jinsi maovu yanavyotetewa, shetani (a.k.a. Ibilisi) yuko ndani ya JF anajivinjari.......
 
Back
Top Bottom