Malkia wa Sheba
Member
- Mar 15, 2013
- 38
- 31
umesema umeajiriwa miezi mitatu tu na umegundua mengi, sasa ulitaka kusiwe na mahusiano ya kikazi? sio kila mtu akikukalia ndio Bwana wako.
Ukiiheshimu Ndoayako na wenyewe watakuheshimu hata mkicheza na kuchezeana
Ukiiheshimu Ndoayako na wenyewe watakuheshimu hata mkicheza na kuchezeana