Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

kuna watu naona wanamshambulia mleta mada, lakini ukweli ni kwamba huko maofisini kuna vituko sana,hili janga la ukimwi halitakwisha.tena walio kwenye ndoa ndiyo hovyo kabisa.

wera wera wera
 
Wengine wapo kwenye "open marriages" jamani.

Kama huwezi kufanya kama Warumi Roma sepa uingie utawani Vatican.

Ukaone kwamba utandawazi umetawala mpaka huko.

Labda beep Dharamsala.
 
Mtoa mada nakuunga mkono, ni vyema tukawa na mipaka kwenye urafiki na mahusiano huko maofisini na sehemu nyingine. Wenye ndoa, note this down tafadhali!
 
Jana nilimwona boss wetu mmoja niliyekuwa namrespect sana anakamata kalio la dada mmoja mtani wake. Sikutegemea kabisa, na kamata yake ndo iliniacha hoi, kwani mkono aliuzukumiza kwa nguvu, nahisi ulikaribia kunako gogo na alivolijaza mkononi. Du ilikuwa ni ishu kwangu, ila yeye hana hata soni na dada mwenyewe anakenua tu.
 
Mtoa mada nakuunga mkono, ni vyema tukawa na mipaka kwenye urafiki na mahusiano huko maofisini na sehemu nyingine. Wenye ndoa, note this down tafadhali!

wee hamna ndoa siku hizi...watu wanaoana by the way tuu...ulimwengu wa sasa ni p&p....pesa na papuchi tuu

Marriage is the child of two morally defective parents: religion + state...
Chagua mwenyewe thatha..state= kik'iwete's tz...religion...Mama Rwaks & Sheikh ponda's + Ustadh Ilunga's
Jibu ntumie kesho...
 
Unajua kuna ofisi zingine yaani unakuta mke wa mtu anamtreat mume wa mtu kuliko hata anavomtreat mume wake nyumbani vile vile mume wa mtu utakuta anamtreat mke wa mtu kuliko hata anavomtreat mke wake nyumbani.Ukiuliza unaambiwa eti wamezoeana and nothing else.Kama ni mazoea kakae kwenye mapaja ya mwanaume mfanyakazi mwenzio na mume wako akiwepo ndo tuyajue hayo mazoea ama mwambie mume wako ama mke wako kuwa ikifika lunch time wewe ndo kila siku unahangaika kujua baba ama mama mwingine atapenda kula nini

Ni aibu sana....... hapa kwetu lunch time wanapakiana mpaka kwenye Tax eti wanaenda kula.......inasikitisha sana. Kuna mmoja jamaa yake anamshushaga na anamfuataga kila siku jioni ofisini wanarudi nae nyumbani...lakini mwanamke anaweza wakatoka saa sita na mwanaume eti wanaenda Lunch....wanarudi saa tisa. Macho makavu wanajishaua eti foleni.
Pia uzungu umezidi sana....wanaume sisi wakitanzania hatujazoea uzungu...demu ukimletea uzungu kijana wa kibongo basi anajua unamtaka hivyo lazima akubanjue tu.....
 
Kwanza, nani kakuchagua kiranja wa kuchunguza wenzio??
Unaelea kuwa 'mpiga chabo' kidogo kidogo, mwishowe utajikuta dirisha la gesti na chelewa.
..kwani na wewe ni mmoja woa ??
 
Kama zako zaongezeka zangu zapunguzwa, nani kakwambia lazima nibembelezwe na wangu tu?

Kama umeshindwa kubembelezwa na wakwako nyumbani basi wewe haubembelezeki na wala stress zako hazitaisha zaidi hapo utaziongeza tu
 
na bado dunia itashuhudia ufisadi na ufirauni wa kila nama mpaka Bwana atakaporejea.... hakuna kingine sababu ni mmomonyoko wa maadili watu wamemsahau Mungu wakifuata tamaa zao mbaya.Laana kwa vizazi vyetu vijavyo.
JAMANI WANAWAKE NA WANAUME HESHIMUNI NDOA ZENU NANYI MTAHESHIMIWA.
 
Unajua kuna ofisi zingine yaani unakuta mke wa mtu anamtreat mume wa mtu kuliko hata anavomtreat mume wake nyumbani vile vile mume wa mtu utakuta anamtreat mke wa mtu kuliko hata anavomtreat mke wake nyumbani.Ukiuliza unaambiwa eti wamezoeana and nothing else.Kama ni mazoea kakae kwenye mapaja ya mwanaume mfanyakazi mwenzio na mume wako akiwepo ndo tuyajue hayo mazoea ama mwambie mume wako ama mke wako kuwa ikifika lunch time wewe ndo kila siku unahangaika kujua baba ama mama mwingine atapenda kula nini

Is there anything we can do?
Do you think hawajui kama si vizuri?
 
Madhara yapi? Kwa nani?

Kongosho haya mambo wala hayahitaji darubini ni kitu kinachofanyika mchana kweupe na kama ni gizinai basi wahusika wenyewe wanawasha taa ili tuwaone vizuri.Yawezekana kweli mimi niko kianalogy bt hiyo digitali hiyo madhara yake ni makubwa sana
 
leo naona watu wamekubaliana na mimi kwamba tulio kwenye ndoa ndo tunaongoza kuchakachuana. ITS LIKE MPANGO MZIMA NI KUBADILISHANA TU.

papuchi tamu jamani....kweli kwenye ndoa nikuzuga tuu....watu wanagegedana kwa kwenda mbele...vipi nije nionje yako?
 
Sio madongo, ila kila watu wana maisha yao na makuzi yao

Mie wakati nakuja Dar nilishangaa sana watu kuvaa vimini, ina maana wanaovaa vimini ndio wana tabia mbaya kuliko wanaovaa nguo ndevu???


Yee kama hashikani shikani ofisini ni yeye, awawache wenzie wapumue

Jamani kongosho mbona madongo mazito mazito?
 
Kwa hiyo watu wasioe ili wsiwe hovyo??

Kuna watu naona wanamshambulia mleta mada, lakini ukweli ni kwamba huko maofisini kuna vituko sana,hili janga la ukimwi halitakwisha.Tena walio kwenye ndoa ndiyo hovyo kabisa.
 
Afadhali hapo red, umejisemea wewe

Kwa wengine, akae na mwanamme mmoja kawa baba yake?? mwanamme mmoja tu ni baba, hawa wengine can be any number.

ndiyo mpaka kushikana shikana ------???????

kwa jinsi ------ ya mpenzi wangu yalivyo mazuri na malaini huwa sitaki yaguswe na mtu mwingine hata kwa bahati mbaya, sembuse kushikwashikwa.
 
Nashangaa, mtu ana miaka 57, unaanza kumfundisha jinsi ya kuishi

Hakuna asiyejua baya na zuri, maisha ni kupanga na kuchagua

Is there anything we can do?
Do you think hawajui kama si vizuri?
 
Back
Top Bottom