Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

Mtoa mada bado hajapata wake kwajili ni mgeni, baada ya muda hatasema haya. Halafu usiwadanganye mabinti ambao hawajaolewa kuwa ni umalaya kuwachekea waliooa! Ukweli ni kwamba WALIOOA wanajua KULEA sana na WANAWAPA uzowefu wa ndoa PRACTICALLY hao mabinti kabla hawajaolewa. Hapa dada yangu inabidi kuishi kimjinimjini UNAKULA WAKWAO NA WEWE UNALIWA WAKWAKO...ngoma draw
 
Kwanza, nani kakuchagua kiranja wa kuchunguza wenzio??
Unaelea kuwa 'mpiga chabo' kidogo kidogo, mwishowe utajikuta dirisha la gesti na chelewa.

Unatetea ujinga wewe!!!Anachosema ni kweli kabisaa,na nakubali utani makazini upo lakini watu wengi wanafanya kweli!Nimeshaona maofisi mengi tu na kiukweli sio taabia nzuri, na ndo maana humo maofisini ukimwi umewamaliza sanaa!Angalizo kwa vijana mnaotafuta wachumba humo maofisini, wengi wameshaumia!!!!!Hasa wasichana tena wanaingiaga mkenge kwa maboss ambao weshajiozea siku nyiiiingii kwa kupelekwa visemina na vioffer cya hapa na pale, be carefulooooo my botherzooo, nasema hivi nikiwa na maana yangu, starting from my office, mhhhh!!!
 
Wakati mwingine tunahukumu sana wenzetu kutokana na mazingira tuliyokulia bila sababu ya msingi

Nilipoanza kazi, 'hug' kwangu kilikuwa ni kitu kinatolewa chumbani tu, tena kwa wapenzi au mke na mme

Kufika kazini, hug ni utamaduni wa kawaida kabisa, nilikuwa nawashangaa mno na nawa-judge wanafanya mat.usi hadharani
Mie sikuwa naweza ku-hug na niliondoka hivyo hivyo na baadae nikaona ni mchanganyiko wa utamaduni, maana weupe na weuzi ilikuwa karibia half half. Na wanaohug wala hawakuwa wapenzi wala nini.

Labda ainfluence policy change in his/her company.
 
Uzoefu wako si lazima uwe wangu

Wote waliokufa na Ukimwi waliutoa ofisini mwao???
Hao wanaoumia wanaingia kwenye michezo kwa kuiga, wawaache mabingwa wa kuflirt na kuliwa ofisini waendelee, maana wanajua mbinu zote.
Unadhani wote tuwe na tabia moja?? Wote tuwe watakatifu?? Inawezekana??

Unatetea ujinga wewe!!!Anachosema ni kweli kabisaa,na nakubali utani makazini upo lakini watu wengi wanafanya kweli!Nimeshaona maofisi mengi tu na kiukweli sio taabia nzuri, na ndo maana humo maofisini ukimwi umewamaliza sanaa!Angalizo kwa vijana mnaotafuta wachumba humo maofisini, wengi wameshaumia!!!!!Hasa wasichana tena wanaingiaga mkenge kwa maboss ambao weshajiozea siku nyiiiingii kwa kupelekwa visemina na vioffer cya hapa na pale, be carefulooooo my botherzooo, nasema hivi nikiwa na maana yangu, starting from my office, mhhhh!!!
 
Sio madongo, ila kila watu wana maisha yao na makuzi yao

Mie wakati nakuja Dar nilishangaa sana watu kuvaa vimini, ina maana wanaovaa vimini ndio wana tabia mbaya kuliko wanaovaa nguo ndevu???

Yee kama hashikani shikani ofisini ni yeye, awawache wenzie wapumue

ha ha ha ha ha!!!!! leo nahamu ya kumshika mtu mata.ko humu ofisini , ngoja nizunguke zunguke.
 
Wakati mwingine tunahukumu sana wenzetu kutokana na mazingira tuliyokulia bila sababu ya msingi

Nilipoanza kazi, 'hug' kwangu kilikuwa ni kitu kinatolewa chumbani tu, tena kwa wapenzi au mke na mme

Kufika kazini, hug ni utamaduni wa kawaida kabisa, nilikuwa nawashangaa mno na nawa-judge wanafanya mat.usi hadharani
Mie sikuwa naweza ku-hug na niliondoka hivyo hivyo na baadae nikaona ni mchanganyiko wa utamaduni, maana weupe na weuzi ilikuwa karibia half half. Na wanaohug wala hawakuwa wapenzi wala nini.

Hata kama wanafanya matusi kama mleta mada anavyosema, is it real your business? au wanamtia hamu na yeye? kama ulivyomuuliza, who is he/she kulazimisha morals zake watu wengine wazifuate? Labda kama inaathiri kazi, then akalalamike kwa wahusika; talking about it here haisaidii wala kubadilisha. Na kwa Mungu dhambi ni dhambi tu, uwe umeifanyia chumbani, guest, kwenye choo cha ofisi au kwenye basi.
 
Kama wewe uko ki manyo wenzio tuki ki automatik kabisa

Kuitana switie kuna tabu gani?? Kunaambukiza Ukimwi???

Standard zako usituletee sie, huoni tunaongeza siku za kuishi kwa kubembelezana??

Kongosho huyu rafiki yuko sahihi kabisa "Huwezi kuzuia joto kwa kutumia bati"
 
Hata kama wanafanya matusi kama mleta mada anavyosema, is it real your business? au wanamtia hamu na yeye? kama ulivyomuuliza, who is he/she kulazimisha morals zake watu wengine wazifuate? Labda kama inaathiri kazi, then akalalamike kwa wahusika; talking about it here haisaidii wala kubadilisha. Na kwa Mungu dhambi ni dhambi tu, uwe umeifanyia chumbani, guest, kwenye choo cha ofisi au kwenye basi.

Mbona naona kama mnamsuta pasi ya kumwelewa...Hivi kufanya mambo ya faragha hadharani ni kuonyesha tabia nzuri? Anayelalamika ni binadamu ameumbwa na hisia kwa hiyo penye mawimbi antennae yake inapokea mawimbi. Sidhani kama ni jambo la kistaarabu kwa mtu aliyeoa au kuolewa kufanya haya katika maeneo ya kazi tena na vijana wadogo....Ndio maana ndoa nyingi za wafanyakazi wawili zina kusalitiana maofisini kwa kiwango kikubwa. Kaunga kwenye bold napingana na wewe pia kwani hapa jamvini wapo wengi wenye hii tabia nasi hatuna budi kuwashauri ili wafikirie kuacha.
 
Uhuru wa ndoa ndio ukoje??

Wa mke mmoja? wa mitala? Wa nyumba ntobo?

..nimesema uhuru wenye mipaka. Na ukitaka uhuru/mipaka ya ndoa hebu rejea kiapo cha ndoa itakusaidia..
 
Regardless, ni biashara za wahusika

Unaweza ukute hata sio kivilee

Mbona, mbona unaitetea sana, ofisini kwenu kwani ipo? Mimi bado naipinga kwa nguvu zote kwani kuna kipindi nilishawahi kukumbana na hii adha na sasa nasikia boss kang'oa mfanyakazi Mke wa m2 na kuvunja ndoa huku ana mke na watoto
 
Mbona naona kama mnamsuta pasi ya kumwelewa...Hivi kufanya mambo ya faragha hadharani ni kuonyesha tabia nzuri? Anayelalamika ni binadamu ameumbwa na hisia kwa hiyo penye mawimbi antennae yake inapokea mawimbi. Sidhani kama ni jambo la kistaarabu kwa mtu aliyeoa au kuolewa kufanya haya katika maeneo ya kazi tena na vijana wadogo....Ndio maana ndoa nyingi za wafanyakazi wawili zina kusalitiana maofisini kwa kiwango kikubwa. Kaunga kwenye bold napingana na wewe pia kwani hapa jamvini wapo wengi wenye hii tabia nasi hatuna budi kuwashauri ili wafikirie kuacha.

Hayo mashauri, hawayapati kanisani, misikitini? Matangazo kwenye TV yamejaa tele. si wa humu wala wa huko maofisini, there is little we can do. SAAANA, tufanye maombi na TUFUNGE kwa ajili yao; kama kweli tunataka kuwasaidia. Tofauti ya hapo tunapiga soga tu na kujivika utakatifu na UHAKIMU wakati wengine tutakuwa FUEL kule mootoni.
 
Wee ilikukumbaje??

KAma huwezi himili joto ya nini kukaa jikoni??

Mbona, mbona unaitetea sana, ofisini kwenu kwani ipo? Mimi bado naipinga kwa nguvu zote kwani kuna kipindi nilishawahi kukumbana na hii adha na sasa nasikia boss kang'oa mfanyakazi Mke wa m2 na kuvunja ndoa huku ana mke na watoto
 
Ha ha ha ha, kumbe si wafanyayo? Ila wanatetemesha antena za majirani? Owkay

Sred closed!

Mbona naona kama mnamsuta pasi ya kumwelewa...Hivi kufanya mambo ya faragha hadharani ni kuonyesha tabia nzuri? Anayelalamika ni binadamu ameumbwa na hisia kwa hiyo penye mawimbi antennae yake inapokea mawimbi. Sidhani kama ni jambo la kistaarabu kwa mtu aliyeoa au kuolewa kufanya haya katika maeneo ya kazi tena na vijana wadogo....Ndio maana ndoa nyingi za wafanyakazi wawili zina kusalitiana maofisini kwa kiwango kikubwa. Kaunga kwenye bold napingana na wewe pia kwani hapa jamvini wapo wengi wenye hii tabia nasi hatuna budi kuwashauri ili wafikirie kuacha.
 
Wala si uatakatifu, ni utakavitu

Back
Top Bottom