clever touch
Member
- Jun 29, 2014
- 39
- 97
Who hurt you my dear?
Poleni nyinyi sio mimiHuyu ameshapigwa na kitu kizito kichwani hadi network zimeyumba anaona manyotanyota.Pole.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mmmmm, eti who hurts me??Who hurt you my dear?
Manyota nyota, mnayaona nyinyi hukoHuyu ameshapigwa na kitu kizito kichwani hadi network zimeyumba anaona manyotanyota.Pole.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sio povu nyinyi ,ndio wenye mapovuMwaisa umetokwa na povu jingi Sana kudadadeki 🤔
For realMleta uzi hawa watu bado wanakuchokoza waletee Uzi mwingine.
Mimi nakuwa chawa wako.
Kabisa kama zakoNaskia harufu ya mdomo na kwapa tu kwa huu uzi[emoji3061]
Vizuri tuNaskia harufu ya mdomo na kwapa tu kwa huu uzi[emoji3061]
Matarajio ya nini ??Tatzo mtoa mada alibeba matarajio makubwa sn kuliko uhalisia[emoji4]
Wanafiki wakubwa au Culture tofautiAlikuwa anatuzingua
Nimeshangazwa na matusi yenuHahahaaa. Akasahau huku ni mwendo wa anonymous hivyo mtu anaeza jieka vyovyote vile.
Mliponifokea mbona ulikaa kimyaUsitufokeee
Kama lakoTako unalo lakini
Siwataki wote, Culture tofautiWapo ila mpaka basi wakutane nao ndio shughuli humu hadi mtu awazoe wamzoee lasivyoo watakuja vichaa pm hadi usalimu amri
Mimi sikutaka kutoka Tanzania, nilisema awe anaishi London😂Kuna wanaume hawana shida et
Kala wakoitakua kuna msela kala mzigo alafu kampa ahadi kibao kisha kamtema
Kama weweMsaada wa haraka unaitajika hapa mtu anaenda kua chiz
Nani alikwambia sijaolewa, utacharazwa wewe, unajuwa heshima wewe au unajuwa matusi tu.Nadhani ushaachwa kwenye mataa tulia sana tu kwa akili hiyo utaitwa bibi, anti fulan mpaka Leo hajaolew wala hana mtoto, mwanaume na aheshimiwe kwa akili yako hiyo pole sana tutaendelea kukuchalaza tu
Wanafiki wakubwa, nilipo tukwana ilikuwa sawa na bila sababuAlikuwa anatuzingua