Kwa wanaume wanaoshindwa kuheshimu wanawake

Kwa wanaume wanaoshindwa kuheshimu wanawake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa kichambo heavy cha sikukuuu. Wahusika mkujee mjipatieee bakshishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa wahusika hawapo humu, basi wewe unahitaji msaada.

huwezi kufoka hivi ikiwa unayemfokea hayupo, kapimwe akili.
 
Mwaka huu Me wa Jf mmeingia cha kike. [emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani kila baada ya siku kadhaa mleta uzi anawapa nyundo zenu.
Kwa kweli huyu anatuwakilisha vyema, tumpe uenyekiti kabisa, wanaume wa humu wamepatikana
 
Stress hua mbaya zaidi kwa mtu aliefikisha 35+ halafu hamna dalili yoyote ya ndoa.
 
Mnajifanya mnaanakili nyingi mnoo kumbe
mabichwa yamejaa uwongo na umpumbavu tu!

Hamuna ustarabu na adabu hata chembe
kazi ujuaji/ujuba, vurugu/vituko na uhuni tu!

Mimi ni malaya, malaya ni nyinyi mnashindwa kukaa bila ngono kutwa kutafuta wanawake. Masikini mnajifanya vidume kumbe ni viumbe thaifu mnooo duniani. Na sasa kutaka urafiki na mahusiano pasipokuwa na vigezo vyangu. Na nimekukomowenu mnooo maana nambari hampati!!

Mimi ni chizi, chizi nyinyi mlokuwa hamna kazi za kufanya na sasa mmebaki kuropokwa ovyo na kushindwa kujitambuwa.
Mimi siropoki tu na kama nimesema kitu kuwa nina ushahidi na bado nitaendelea kusema sasa kama nyinyi mnavyoshindwa kufunga madomo yenu na kila siku zikizidi mnazidi kuwa wanafiki na wababaifu.

Mimi nina nyege, wenye nyege nyinyi mnaofikiria mimi kutokuwa na mume na mtoto/watoto ni mwisho wa maisha yangu, kwa tarifa zenu mume na mtoto/watoto sio tunu kwangu na kama vingekuwa tunu kwangu ningepunguza vigezo, na ndio sasa nimeviengeza na nikasema kabisa sitaki papara.

Mimi sina utu na eti nimeweka pesa mbele, nyinyi ndio hamna utu kutwa kukejeli na kuthalilisha wanawake, na mmebaki sasa kuweka pesa mbele kama vile zenu. Mimi sina shida na pesa ya mtu kwa hiyo nina haki zote ya kuongelea pesa yangu.

Mnikome na wacheni ushamba na hashuo na kujifanya wakamilifu na watakatifu na sasa mmejifanya nyinyi Miungu, na kujuwa kuhukumu na kutabiri maisha, hasa kwa mtu ambae hata hamumjui na sasa kutaka kunizoweya.

Tabirini yenu na azeni kuweka sawa shida zenu kwanza kama mtaweza huku mkifungua madogo yenu yanayonuka thambi,shida, njaa, choyo, tamaa na ufisadi.

Na kama sio chuki,tamaa, ufisadi na ubaguzi ni nini sasa, kuwa bado mnaendeleaje kuwa malimbukeni na kubweka kila kukicha.
Nithahiri kuwa sasa mumeshindwa kupambana na stressi zenu!

Mimi sikuja hapa kuomba ushauri wa kuishi maisha yangu, jishaurini yenu kwanza kama mtayaweza!
Kwani mimi sijui kama kupata mume humu kwa vigezo nilivyoviweka sio rahisi kuwa wengi wenu humu muko Tanzania na pia kwa miaka ya mume ninae tafuta wengi wenu humu tayari sasa muna watoto.

Mnashindwa kueleweka kwa midomo yetu inayoshindwa kukaa kimya,bizi kutukana na kunyanyasa wanawake kama vile mlijazaa wenyewe!! Yatizameni vile mnavyoshindwa kueleweka sio bure tayari mumeshaapizwa.

Siyumbwishi kwa maneno mimi na wala sikuogopeni na mtasubuka saaana na sitojibu mtu mmoja mmoja kuwa niko bizi mnoo.

Kwa hiyo thread zitakuja tu, hili jukwaa sio lenu na kwa tarifa yenu mmiliki wa hili jukwaa ndio kwanza anasema nibaki.

Endeleeni sasa na kama milifikiria mtanikosesha amani na kushindwa kufanya yangu kwa midomo yenu hiyo michafu. Mtakosa amani nyinyi sasa kuwa mimi humu sitoki.

Na kama sasa mumeishiwa nacha kusema kuwa hamuna jipya, wacha nisome mada nyengine tofauti ambazo za maana kuliko kusikiliza ujinga wenu.
Utakuwa umefikwa na jambo..!!
 
Waraka wa mtume Paulo kwa wagalatia, dada kwani ukitongozwa na haujapenda si unakataa hata akisema maneno mingi kwani si unakuwa haujapenda, hata kama wako 100 ukiwakataa ni umewakataa zipo njia za kuendelea kuonyesha umekataa no pamoja na kublock namba, uzuri wake hata namba haujawapa mbona naona kama umewaka moto wakati ulitongozwa huko sirini?? Ya sirini yamalize huko huko sirini
 
Dah nilisoma robo ... Nikaingia kwenye comment nikavurugwa nikarudia kuisoma mpaka nusu na bado sijaelewa ...

Ila nachotaka kukuambia.... Tafuta kimti kikupumzishe makasiriko
 
Kwa kweli huyu anatuwakilisha vyema, tumpe uenyekiti kabisa,
Hakika My dear hata na mimi kwa moyo mmoja naungana nawe tumpe tu uwenyekiti kwani kama usemavyo anatuwakilisha barabarrra. 🤣🤣🤣
wanaume wa humu wamepatikana
Hasa wale wazamiaji wa kule piyemu kama nawaona wakishaona hizi nyuzi vile roho zinawadunda. 🤣🤣
 
501... 501... one man(Mzee Mama) down, I repeat, One man down, do you copy?
 
Pole sana mkuu,

Huenda ulikuja na spidi kubwa kabla ya kujua unaendesha barabara ya vumbi, huku ni vumbi tupu mkuu, hakuna lami...endesha taratibu!!
Alikuwa kapotelea gizani kaacha kuoelewa huko nje anakuja kuamini jf walahi atarukwa na akili
 
Humu jf wengi ni wanaume za watu Tena wa ndoa halafu kingine mpenzi acha pra when time is right utampata iwe humu au wapi halafu kingine naomba nikuulize kitu kimoja are you serious au ni unatania walahi Kwa sababu unaweza kwenda inbox ukajaribu kusaidia mtu akadai ni utani tu Wala usijali nawapa changamoto .

Kama nikweli angalia sana unastand wapi ?
Mahusiano Yako yapi yalidumi ya watu weupe au weusi ni WA tz au ni wanaishi njee ulikosea wapi au wao walikosea wapi hivyoo tu
 
Haya sema wewe ni wa bububu au mchamba wima [emoji28]
 
Back
Top Bottom