Vipi kuhusu wanaume wanaovaa cheni?
![]()
Haya mambo ni culture tu watu wanaiga lakini na ni ushamba (napingana na tafsiri ya mtoa post).
Kuna vingi ambavyo tumepokea na kwa vile vimezoeleka tunaona kawaida mf zamani 80's mwanamke kuvaa surual ilikuwa anaitwa 'changudoa' lkn saivi je??
Hiyo ya hereni hata huku majuu bado mtu haonekani kama mstarabu mf kwenda nayo interview, au academic conference.
Likewise kuchora tattoo nayo ni maujinga tu, nadhani sisi kama watz kuna vya kuiga na vingine ni kuachana navyo kbs.
Mfano wa kitu cha kuiga ni "organ donation" sijajua kama home iko well known ila ni kitu poa sana unasign kuwa ukifa na ikiwa sehem ya mwili wako iko poa waitoe wampe mwingine
Hiyo ni tafsiri kulingana na wewe ama utafit gani umetoa conclusion hiyo? Unaweza weka reference?
Jerry nilikuwa Mombasa hivi karibuni kuna mashoga wengi sana kule yani katika Afrika mashariki Mombasa inaongoza kule mashoga mabasha na ngangaripoa wanajulikana kwa uvaaji wao wa hereni, wazungu na waarabu wanajisevia kwa raha zao.....hili si utani nikweli na nimeshuhudia kwa macho yangu
Hayo mambo ya zamani siku hizi wengi wanavaa kama fashion.
Inabidi ukubali tu, kama haupendi basi usiwatizame au kuwaonea wivu, waache wajifurahie na kutoboa.
Ni kawaida sasa na pengine ni fasheni kwa vijana wa kiume kuvaa hereni aidha masikio yote au moja lakini wanajua maana yake kweli?
kwa wanapenda kujua au kufahamu ni kuwa
1:kuvaa hereni sikio la kulia inamaanisha wewe ni shoga
2:kuvaa hereni sikio la kushoto maana yake wewe ni basha
3:kuvaa masikio yote mawili ni kwamba wewe ni basha na unabashiwa
vaa kitu huku ukijua maana yake usije kurusha ngumi watu wakitaka huduma
Mi sijapinga mkuu, nlitaka atoe rejea tu ili hata mimi naweza tetea hoja! Hiyo ya Elton mi sijui but ninaowaona nawajua sio mashoga! Wanavaa kama urembo na kuonekana wako updated, bro ukija ulaya utaona mengi kama hii hapaView attachment 115439
Haya mambo ni culture tu watu wanaiga lakini na ni ushamba (napingana na tafsiri ya mtoa post).
Kuna vingi ambavyo tumepokea na kwa vile vimezoeleka tunaona kawaida mf zamani 80's mwanamke kuvaa surual ilikuwa anaitwa 'changudoa' lkn saivi je??
Hiyo ya hereni hata huku majuu bado mtu haonekani kama mstarabu mf kwenda nayo interview, au academic conference.
Likewise kuchora tattoo nayo ni maujinga tu, nadhani sisi kama watz kuna vya kuiga na vingine ni kuachana navyo kbs.
Mfano wa kitu cha kuiga ni "organ donation" sijajua kama home iko well known ila ni kitu poa sana unasign kuwa ukifa na ikiwa sehem ya mwili wako iko poa waitoe wampe mwingine
Sasa hao mashoga waki sign hiyo 'Organ donation' si balaa, unawekewa ngozi ya Tak.o lake halafu unaanza kujifil ki Elton john!
hahaa nikweli kabisa lakini pia ushoga huko majuu uko kwa kiwango cha kutisha yaani ni kama umehalalishwa na ndio maana huko kuna mpaka haki za mashoga