Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,987
- 831,554
Ni kawaida sasa na pengine ni fasheni kwa vijana wa kiume kuvaa hereni aidha masikio yote au moja lakini wanajua maana yake kweli?
kwa wanapenda kujua au kufahamu ni kuwa
1:kuvaa hereni sikio la kulia inamaanisha wewe ni shoga
2:kuvaa hereni sikio la kushoto maana yake wewe ni basha
3:kuvaa masikio yote mawili ni kwamba wewe ni basha na unabashiwa
vaa kitu huku ukijua maana yake usije kurusha ngumi watu wakitaka huduma