Kwa wanaume walio oa tu

Kwa wanaume walio oa tu

Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue
Usiseme hivyo mkuu kuna majaribu yanakukuta unajiuliza Mungu yuko wapi sasa????
 
Mke anapaswa kuwa namba moja, ila itategemea tabia zake kama ni mke kwa maana ya mke atabaki kuwa namba moja. Mambo mengine hutikana na namna wewe mwanamke una vyoitendea hako hiyo nafasi yako kama mwanamke
 
Nitampa mke wangu kwa sababu yule ananitegemea mm mme but mama au dada msada ukidunda kwangu ataangali upande mwingine wa shilingi
 
Nitajipa mwenyewe maana imeandikwa
'Mke wangu ni ubavu wangu".
 
Kwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu

Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani?
Au
Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda kumsalimia nani? Au
Una kitu haukitumii akaitaji mkeo na ndugu yako yoyote utampa nani?
Naomben mnisaidie majibu nyie mlio oa
Tatizo lako upendi upande wa ndugu za mwanaume,wazazi wake wamemsomesha ww amekuoa unataka asiwape ndugu zake ela.mi nampa kwanza ndugu yangu mke baadae
 
Kwa swali hili dogo kweli hujaoa mke ndo ubavu wako mdogo wangu ndugu ni mengineyo
 
Tatizo lako upendi upande wa ndugu za mwanaume,wazazi wake wamemsomesha ww amekuoa unataka asiwape ndugu zake ela.mi nampa kwanza ndugu yangu mke baadae
Ona huyu nae sijui katokea wp...kwa taarifa yako tu Mimi in ndugu wa mume na nilikua na mawazo kama yako
 
Ona huyu nae sijui katokea wp...kwa taarifa yako tu Mimi in ndugu wa mume na nilikua na mawazo kama yako

Unataka kupata haki sawa na mke wa kaka yako?? Subiri uolewe ili upate haki sawa na Dada wa mume wako.
 
Familia kwanza, ukijua familia yako ni nani hutauliza hili swali.
 
yaaani!!!!JF inaboa balaa,toka madogo wamalize form four wamevamia forum!!!!!
 
sorry kwanza kwa bachela kuvamia uzi.
Ila hapo ni MKE KWANZA, wengine baadaye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom