mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,564
Hivi si amesema kwa wanaume walio oa tu au mimi ndio sijamwelewa?Labda kama kaomba mama au baba,lakin ndugu tu mweee wanisamehe
Au umejibu kwa niaba ya mzee wa kaya hahahaha (just joking mkuu)
Hivi si amesema kwa wanaume walio oa tu au mimi ndio sijamwelewa?Labda kama kaomba mama au baba,lakin ndugu tu mweee wanisamehe
Kwan na wewe umeolewa, si ulisema Mama sabrina ni nick name tu lakin wewe ni single kama Barieda.Labda kama kaomba mama au baba,lakin ndugu tu mweee wanisamehe
Hayo ndiyo mawazo mufilisi ya wake zetu!Labda kama kaomba mama au baba,lakin ndugu tu mweee wanisamehe
Nimejibu kwa niabaHivi si amesema kwa wanaume walio oa tu au mimi ndio sijamwelewa?
Au umejibu kwa niaba ya mzee wa kaya hahahaha (just joking mkuu)
Ulishaambiwa Utamwacha baba na mama mtaungana utakuwa kitu kimoja na mke wako, sasa je kuna mtu anachukia mwili wake? Mke ni second part yako. ukitoka wewe basi ni mke, then hao wengine wanafata
Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujueKwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu
Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani?
Au
Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda kumsalimia nani? Au
Una kitu haukitumii akaitaji mkeo na ndugu yako yoyote utampa nani?
Naomben mnisaidie majibu nyie mlio oa
Mkuu umeoa?Inategemea na changamoto aliyonayo anaeomba
pole sanaMpaka kuliweka hapa inamaana limetokea zaidi ya Mara 1
kuna mmoja anaigiza hapo....Mpaka kuliweka hapa inamaana limetokea zaidi ya Mara 1
Usiseme hivyo mkuu kuna majaribu yanakukuta unajiuliza Mungu yuko wapi sasa????Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue