Kwa wanaume wa ukweli tu

Kwa wanaume wa ukweli tu

babajnr

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
98
Reaction score
13
Jamani,niliwahi kuandika kwa kutaka kujua ni idadi gani ya mabao ambayo standard kwa mwanaume anapokuwa ana-do na mpenzi/mke wake lkn kwa bahati mbaya sijui nili violate taratibu za humu jamvini? Maana sikuweza kupata majibu baada ya kushundwa kufunguka. Sasa kwa uzi huu naomba tena mnijuze ni idadi gani inafaa,2,3,4 au ngapi?Iisije ikawa najiona normal kumbe ni mgonjwa wa kufa kesho ktk hiyo context(kama hufaham kitu usidanganye,just leave it)
 
kwa mpenzi dini haziruhusu!!kama ni mke mwanzo huwa 3-5 ila kadiri siku zinavyosonga na majukumu ya familia unajikuta hata 1 kwa shida!!kuna tofauti ya kitu kipya na used much,pia mwanaume kupiga bao nyingi huchangiwa kwa kiasi kikubwa jinsi mwanamke anavyochangamkia tendo lenyewe!anayelala huku anachat facebook ni tofauti na anayekata nyoga kwa mlio wa utamu
 
Inategemeana na airtime!!kuna siku mtu unaweza tuliza akili ukipiga 2 za 45min each!! It means hapo mtu anaridhika na shughuli pevu!! Na kuna siku hua zinakuja bila utaratibu mzuri mtu unaweza nyoosha goti langoni Mara5!!
 
Nilichogundua ni kwamba humu ndanikuna watu wana maujuzi sn sema tu hawana pa kuyasemea,thank you all walioelewa swali
 
wanawake wanaweza kukuthibitishia vizuri kuliko wanaume, maana wengi wapenda sifa kumbe hata lile moja linatokea

sebuleni wakati wa kuelekea ndani ya nanii.
 
Mkuu hii mambo ni subjective.
Mtu anaweza kwenda mara tano labda kila baada ya dakika tatu au mbili mbili (5 goals for 15minutes tena kwa wale wenye nazo kwa vyakula vyetu vya mjini mjini)

Mwingine anaenda mara 2 lakini kila moja dakika thelathini hadi hata lisaa kutegemeana na ujuzi na aina ya mazoezi mtu anayofanya.

SO: Mi nakushauri umuuize mkeo anaridhika katika kiwango gani kama umeshindwa kumpimia mwenyewe dozi stahili. (sio swali zuri kuuliza, you need to be very observant)

Pili: Mtu asikudanganye Mkuu, Mazoezi ni kitu muhimu sana kwa mwanaume, I can guarantee you Bro. Kama hujaanza, jifunze taratibu na njia nzuri ni kuanza kufanya na kuendelea kutafuta materials mazuri ya faida za mazoezi yataendelea kukupa ari na hamasa na kama Kiriba tumbo (kitambi kipo lazima kiondoke tu) Faida zipo nyingi sana nikiziweka hapa patajaa mkuu.
 
unajua kwanini hawakukujibu!
WANAUME WA UKWELI HAWAJIBU MASWALI KAMA HAYA!
 
Jamani,niliwahi kuandika kwa kutaka kujua ni idadi gani ya mabao ambayo standard kwa mwanaume anapokuwa ana-do na mpenzi/mke wake lkn kwa bahati mbaya sijui nili violate taratibu za humu jamvini? Maana sikuweza kupata majibu baada ya kushundwa kufunguka. Sasa kwa uzi huu naomba tena mnijuze ni idadi gani inafaa,2,3,4 au ngapi?Iisije ikawa najiona normal kumbe ni mgonjwa wa kufa kesho ktk hiyo context(kama hufaham kitu usidanganye,just leave it)
Quantity goal it's not matter but we look Quality goal
 
Nadhani una uzoefu kidogo sana na suala la "kushiba"
'
Hivi kawa wewe unashiba baada ya kula sahani mbili za wali,ni kila mmoja atashiba kwa kiasi hicho?
'
Hebu acha masikhara kijana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom