Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,570
- 20,095
Anaiuza kimastaa mno mdau wetu.[emoji3][emoji3][emoji3] tangazo lipo creative sana
Anaiuza kimastaa mno mdau wetu.[emoji3][emoji3][emoji3] tangazo lipo creative sana
Ubinadam kazi tunaoonekana tunajua kutongoza mpk muambiwe mnataka muolewe ndio mkubari saivi ukitongoza kidogo unaambiwa unashingapi we uwo ujasiri wa kuendelea unautoa wapi Mtuache tupumzike jmn😄😄Haya mambo si ya kuchekana kabisa.
Tuombe sana Mungu
🤣🤣🤣 wamebuni mbinu mpyaToka selfika ifungiwe soko limekuwa gumu sana humu siku hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usikute ni mwanetu tu kafungua akaunti yenye jina la kike tupo naye hapa anatuchora tu 😅Pambania kama jina lako,mrembo huyo
Sisi kama ndugu zako wa jf tunataka shemeji😅
ni ya kupotezea tu ukijaribu kufikiria hupati sababuHaya mambo si ya kuchekana kabisa.
Tuombe sana Mungu
NakaziaPambania kama jina lako,mrembo huyo
Sisi kama ndugu zako wa jf tunataka shemeji😅
Bado hamjasema
au ni muuzaji wa utope anafanya matangazo😅Usikute ni mwanetu tu kafungua akaunti ya yenye jina la kike tupo naye hapa anatuchora tu 😅
Umeona sasa unajishuku bure kuna mtu kakusema. Apa mtauponzaWe koma me nina bwana angu kitambo na ananipa kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamebuni mbinu mpya
Hili neno bwana angu huwa linanichekesha sana😂😂😂We koma me nina bwana angu kitambo na ananipa kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na siku hizi wamezagaa sana humu kwenye mitandao🤣au ni muuzaji wa utope anafanya matangazo😅
Kabisani ya kupotezea tu ukijaribu kufikiria hupati sababu
Umeona sasa unajishuku bure kuna mtu kakusema. Apa mtauponza
Hili neno bwana angu huwa linanichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wangu nataka tu kila mtu ajue upendo wangu kwako hauna mfanoKabisa
au ni muuzaji wa utope anafanya matangazo[emoji28]
Sisi haituhusu na kwanini atuletee mambo ya kike???🤣Usikute ni mwanetu tu kafungua akaunti ya yenye jina la kike tupo naye hapa anatuchora tu 😅
Naona limekaa kishari shari sana🤣🤣🤣.Kwanini? [emoji23][emoji23][emoji23]