Kwa wanaume wa JF

Hakuna hata mmoja uliyemkubali?
 
We kifaranga huna cha kunifundisha. Kua ujue kuyatamia mayai kisha ndiyo usemezane nami.

Nenda huko wewe kama umevutiwa napo. Ngedere wewe.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Punguza makhasirikooo
Khaaaa, hapo umevimba mwenyeweeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaaa
 
Umejiunga JF Leo yawezekana ni ID mpyah sawaaa....... unadhan watu wa humu ni cheap kwa mtindo ulokuja nao
Kwani watu wa jf si ndo wanaume tunaopishana nao kidimbwi au u nahisi hawa wanakaa ikulu tu
 
[emoji16]sidhani kama Kuna sehemu nimeandika namba ndefu kiasi Cha kushtusha jamii mm ni mtoto wa mkulima tu ninayeishi chini ya Dola moja kwa siku

Hujanipa mlivyoishia piemuni bana, mbona story nusu emu kamilisha story [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…